Pole sana Aspirin
thanx KARIA! tupo pamoja mwambie!Umenikataza nisiwaambie watu lakini nimeshindwa. Navokuona na unavokunywa najua umeumia sana.
Acha wanachitchat wajue umempoteza binamu na rafiki yako sana wa karibu. Kama mimi nimeumia najua ulivoumia.
Mungu amlaze binamu yetu padre Amon mahali pema peponi. Amina. Parokia ya Kurasini itakukumbuka daima.
jamani mwenye hata trekta ampe lift hubby wetu! khaaaaaa, KARIA mwambie naandamana huku apate usafiri!Jamani nazidi kusikitika babu Asprin kakosa nafasi kwenye basi la ndugu wa marehemu kaamua kutumia bajaji yake kwenda Tunduru kwenye malalo ya milele ya marehemu binamu yetu padre Amon! A NAZIKWA Tunduru kwenye makao makuu ya shirika lake! Kwa wakatoliki wanalijua hilo ipasavyo.
jamani Fixed Point, mambo?? nimekumisijeeeee? pole zimefika, nitazifikisha usiku nikiwa kifuani kwake!Mrembo, poleni sana wewe na wake wenza pamoja na hubby wenu.
Mwambie rafiki yangu Asprin ampe pole mkwe wangu pia
Naomba ninyooshee lile Nigerian batik na kikofia chake,
naweza baadae nikaenda msibani Kurasini Kanisani papi o.
hii habari ina ukweli au ni chit chat? Tunduru kwa bajaji? au ni misemo ya huku ambayo imenipita?Jamani nazidi kusikitika babu Asprin kakosa nafasi kwenye basi la ndugu wa marehemu kaamua kutumia bajaji yake kwenda Tunduru kwenye malalo ya milele ya marehemu binamu yetu padre Amon! A NAZIKWA Tunduru kwenye makao makuu ya shirika lake! Kwa wakatoliki wanalijua hilo ipasavyo.
rafiki hata mimi nilikumiss sana. wakwe zangu hawajambo lakini?jamani Fixed Point, mambo?? nimekumisijeeeee? pole zimefika, nitazifikisha usiku nikiwa kifuani kwake!
wakwezo wazimaaaaaaaaaa! mama mtu hapa ndio nauliza mnaanza lini kupunguza mahari?? lol!rafiki hata mimi nilikumiss sana. wakwe zangu hawajambo lakini?
ha haaaaaaaaaaaaaaaaaa, hapo sasa. chonde msije ukataka shea kwenye kampuni zetu kama mahari, maana wazazi wa siku hizi wenye mabinti ni wafanya biasharawakwezo wazimaaaaaaaaaa! mama mtu hapa ndio nauliza mnaanza lini kupunguza mahari?? lol!