GE2025 Babangu kasema hiyo 29 haendi popote

GE2025 Babangu kasema hiyo 29 haendi popote

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

inchaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
2,650
Reaction score
5,461
Leo ndo nimeshangaa.

Kada kindakindaki wa mbogamboga. Babangu kabisa.

Leo kakikataa kile kikundi cha wahuni wa kijani na kasema hiyo 29 haandamani na wala hapigi KURA.

Miaka yote hajastuka ila safari hii kastuka mbogamboga ni kikundi cha MATAPELI.
 
Sipendi maandamano na si mshabiki WA Wana SIASA . Mimi ni shabiki wa yesu . ila kwa kweli kama taifa tuna shida sehemu . Tunahitaji Umoja wa kitaifa
 
Leo ndo nimeshangaa.

Kada kindakindaki wa mbogamboga. Babangu kabisa.

Leo kakikataa kile kikundi cha wahuni wa kijani na kasema hiyo 29 haandamani na wala hapigi KURA.

Miaka yote hajastuka ila safari hii kastuka mbogamboga ni kikundi cha MATAPELI.

CCM ndo wengi hawataki mgombea wao na tena ndo wanampiga vita balaa. Mbogamboga ni wabaya sana
 
Back
Top Bottom