RUV ACTVIST.
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 472
- 111
Nakubaliana na wanaotaka uadirifu,nakubaliana na wanaokataa ufisadi.....lkn tulipofika sasa,CCM lazima ife kwanza.....mengine tutajadiliana baadae
Hayo mengine ya baadaye ni yapi?maana huo ufisadi ndiyo moja ya jambo lililotufanya tufike hapa halafu unasema tusiyaangalie hayo kwanza tuitoe ccm. Sasa kama ni hivyo hiyo ccm tunaitolea nini?
la muhimu punda afe kwanza then mambo mengine tutajadiriana bila kulindana.." let us chase the hyna first, and then we'll come back to warn the hen from wondering into the forest"
Nakubaliana na wanaotaka uadirifu,nakubaliana na wanaokataa ufisadi.....lkn tulipofika sasa,CCM lazima ife kwanza.....mengine tutajadiliana baadae
Ni lazima hili jumba la mafisadi livunjjwe kwa wanaokumbuka hadithi ya Mbutolwe mwana wa Umma wataelewa kwani CCM ni chaka aka mazalio ya mafisadi ,fisadi yeyote unaemjua wewe basi chimbuko lake ni huko CCM ,sasa kama hatujaiondoa CCM ,watakunywa hata gesi na ndio wanayoikodolea macho.
CCM waondoke kabla hawajaondolewa ,naamini wameshakaa tayari kuyakubali matokeo ya kushindwa vibaya sana.