Baba yetu mbaraka obama

Baba yetu mbaraka obama

mavumbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
596
Reaction score
328
Baba yetu Mbaraka Huseni Obama,
Ujio wako utukuzwe,
Utawala wa Marekani uje, hapa Tanzania na ulimwenguni kote,
maana mapenzi yake yametugusa kuanzia huko Ikulu, Mbagala na hata Mikindani!
Utupe leo misaada yetu iwe ya vyeo, dola na hata mitumba;
Utusamene madeni yetu
kama nasi tunavyowasamehe wa EPA, kwa Mama Lishe na kwenye grocery
Usitutie majaribuni kwa kuupigia debe ushoga na usagaji,
maana wanaume wenye sura nzuri watahama mitaani kwao;
Lakini tuokoe na yule mwovu kama aliyerubuniwa huko Arusha
ili tusije pata kichapo kama cha Sadam na Osama;
Au yule aliyeisambaratisha Misri
hadi wajina wako Huseini Mubarak akaondolewa na kufungwa!
Kwa kuwa wako ni Utawala, Ubabe na Utajiri,
Milele hata milele!


 
Blasphemy,matukano na machukizo kwa aliye juu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom