Baba yangu hanipendi kwasababu ya tabia zangu

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,402
akirud nyumban lazma aniulze naendeleje shule. cku hz aniulzi anifat chumban. jna wakat tunakula akawaulza wadogo zngu wanaendeleaje shule mi ajaniulza ktu chochote. aniulzi chochote. maa anaona asemi ktu ananyamaza tu roho inaniuma sna nfanye nn anpende km zaman
 
We bdl ungemuulza kwann ww hakuulz..
unakuja kutuulza sis tutawezaje kujua mawazo yake...?
 
aiseeee ww ndo unajua ulichomfanyia sasa unatulalamikia sisi tena
 
Piga msuli wa kitabu acha utoto, unaanza kufikiria kutokupendwa na Baba unaacha kupenda kitabu kwani baba yako atakupa maisha zaidi ya kitabu? Unafikiria saaaana kama unaachwa na boyfriend anyway siyo makosa yako, makosa labda ya kazi.
 
Kila jambo na wakati wake badala ya kusoma unashinda huku we Dogo patakusaidia nini? watoto siku hizi mnajiona much know sana. Ninge hua haitangulii
 
Tabia zipi?
 
Kuna mahali umemkwaza tafuta muda tulivu akiwa pekeyake umuulize kwa adabu na unyenyekevu ukiwa umevaa mavazi ya heshima
Amejua unashinda mitandaoni ndo maana
 
Enhe unaendeleaje na shule mwanangu?
 
Aisee we dogo hivi vijistory vyako vinatuchosha.
 
Wewe jamaa hakika una mtindio wa ubongo maama una story za uongo kila siku.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…