Baba yangu "Former TBS CEO" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baba yangu "Former TBS CEO"

Discussion in 'Jamii Photos' started by Ng`wanakidiku, May 20, 2012.

 1. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hivi magazeti hawana picha nyingine? Mi nadhani huyu mzee kaonewa. Kuna haswa wenye dili zima la hapo TBS.
  [​IMG]
  Source: mwananchi.co.tz
   
 2. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Haya tueleze kama yeye kaonewa unadhani nani mwenye dili hilo? Na kwa nini yeye (Ekelege) amekaa kimya hajamtaja?
   
 3. m

  manyani Member

  #3
  May 20, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna cha kuonewa hapo. Kama na ww upo pamoja nae ujue mwisho wenu ndio huu. Mtazama kama magamba wanavozama kwa sasa. hakuna la maana kwa huyo unaedae ameonewa.. nenda kaangalie ufanisi wa TBS "kama una macho ya kuona" maana wengi wanapitishwa pale na kuudanganywa hahta kama wanaonyeshwa mabox na kuambiwa hii mashine ya kupima matairi na ukweli matairi yakiangaliwa kwa macho na kupigwa muhuri wanakubali tuuu...uozo mtupu pale
   
 4. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #4
  May 20, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama si coward atamtaja JK
   
 5. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #5
  May 20, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Duh basi noma! Nadhani ataonja segerea
   
Loading...