Baba yako analo?

Baba yangu kutokuwa nalo sio sababu ya kuruhusu vipanya, bajaji, boda na vigari vya hovyo kuingia city center. Tatizo miafrika hatupendi kufuata utaratibu kwa sababu za kijinga jinga wananchi na miviongozi.
 
Kwa hiyo kwa akili yako wewe gari ya TZA ni sawa na kuruhusu vipanya, bajaji na boda city centre? Au labda kwako wewe vigari vya hovyo vinakuwa determined na registration namba za T...A? Huna akili sawasawa Mkuu.

By the way, TISS mara nyingi wanafunga namba T...A
 
Wana dharau sana hao wapuuzi. utafiki kwao wanayo
Utafikiri baba zao walikuwa nazo wakiwa wadogo wakati tunawajua walienda shule bila viatu hadi walipoingia sekondari ndio wakaanza kuvaa viatu na chupi🤣
 
Baba yangu kutokuwa nalo sio sababu ya kuruhusu vipanya, bajaji, boda na vigari vya hovyo kuingia city center. Tatizo miafrika hatupendi kufuata utaratibu kwa sababu za kijinga jinga wananchi na miviongozi.
"Baba ako analo"
Loh!😄
 
TEETH unaona wako sawa? Kwa mwenendo wa hii nchi hao teeth kazi yao ni nini? Teeth ambao hawataki wajulikane then wanafunga namba A gari ya 2026 na kupita kwa fujo barabarani unaona watu wa namna hiyo wana akili kweli?
 
TISS wajinga sana. Wanafunga namba za T-A kwenye gari zao, wakati kila mtu anajua ukiona gari mpya ina namba za T-A ni ya TISS, hasa haya ma Cruiser na Prado. Sasa sijui wanafanya nini, si afadhali wafunge namba za kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…