Yoav Gallant
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 2,905
- 6,233
Hapo yeye ndiyo kaigonga tren
Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu na kwa Hakika kwake yeye tutarejeaukiandika kwa kiswahili tukaelewa sisi waarabu koko wa nanyumbu utakuwa umeonekana mshamba sana? Watanzania tuipende lugha yetu ya kiswahili.
Hapo nakupa Hongera sana mkuu. Tuipende lugha yetuHakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu na kwa Hakika kwake yeye tutarejea
Kwahiyo mkuu utaishi mileleVyeo vinatafutwa nilijua uchaguzi wa TFF hautakwenda bure
USSR
رحمه اللهانا الله وانا اليه راجعون
Unaona mbali sana! Treni, sio kama magari, yaani yapo mengi barabarani. Na treni ina njia yake maalum. Sasa, unakatiza kwenye njia yake, haulioni mpaka likufikieee?Vyeo vinatafutwa nilijua uchaguzi wa TFF hautakwenda bure
USSR
Nilidhani kifo ni kifo.Kifo ni fumbo