Baba wa Taifa alipozungumza UNO kwa mara ya kwanza 1955 kudai uhuru wa Tanganyika miaka 61 iliyopita

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
21,791
31,803

images

nyerere_departing_for_UNO.jpg

Picha hii ilipigwa tarehe 17 February 1955 Uwanja wa Ndege Dar es Salaam siku Mwalimu Nyerere alipoondoka kwenda
UNO kuanzia kushoto ni Rashid Sisso, Robert Makange, Zuberi Mtemvu, Iddi Faizi Mafonfo, Julius Nyerere, John Rupia,
Titi Mohamed, Mtemvu ameshika mkoba wa Nyerere uliokuwa na hotuba yake

Ingia hapa kusoma jinsi mipango ya safari ya Nyerere ilivyotekelezwa:
Mohamed Said: Idd Faiz Mafongo Mweka Hazina wa Safari ya Nyerere UNO 1955
Posted 25th April 2015 by Mwanahistoria MohamedSaid
Labels: gallery
 
Mohamed Said ilikuwaje baadae nikiwa mdogo. nikasiki watu wanaimba
. "Zuberi Mtemvu kapotea uuuuwi
. mapesa ya mpoteza uuuuwi"
Nilikuwa sijanza shule,wimbo huo maarufu miaka hiyo una maana gani na ni mapesa gani hayo?
 
Hio

images

nyerere_departing_for_UNO.jpg

Picha hii ilipigwa tarehe 17 February 1955 Uwanja wa Ndege Dar es Salaam siku Mwalimu Nyerere alipoondoka kwenda
UNO kuanzia kushoto ni Rashid Sisso, Robert Makange, Zuberi Mtemvu, Iddi Faizi Mafonfo, Julius Nyerere, John Rupia,
Titi Mohamed, Mtemvu ameshika mkoba wa Nyerere uliokuwa na hotuba yake

Ingia hapa kusoma jinsi mipango ya safari ya Nyerere ilivyotekelezwa:
Mohamed Said: Idd Faiz Mafongo Mweka Hazina wa Safari ya Nyerere UNO 1955
Posted 25th April 2015 by Mwanahistoria MohamedSaid
Labels: gallery
[/QUOTE

Hio suti alipewa na Dossa Aziz a.k.a the Bank.
Hio Tai aliambiwa asiifungue mpaka atakaporudi
 
Back
Top Bottom