Baba V unakesi ya kunijibu...

Baba V unakesi ya kunijibu...

stevoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
2,921
Reaction score
1,106
Asante mod kwa kututatulia tatizo lililotokea kwa mke wangu kipenzi Marry Hunbig.
Nina mashtaka kwa mwenyekiti wa mausiano na ndoa hapa chit chat. Baba V umeanzisha thread ukiuliza yaliyomkuta mke wangu wakati mimi sipo.
Kulikua na wachangiaji wengi tuu
Lakini namtafuta huyo mtu anayejiita noahism anamtakia nini kipenzi changu Marry Hunbig?? NA Baba V unaliona hilo. Aliyoyatamka muheshimiwa umeyafumbia machoo??
 
Last edited by a moderator:
stevoh kuwa makini ile thread nimeipitia nimepigwa na butwaa akipost huyo unayemwita mkeo ukija kwenye qoute unakuta hiyohiyo post ina jina la mndali
 
Kijana wangu stevoh hebu fumbua macho, toa vibanzi na maboriti hayo, bado una ujasiri wa kumuita yule@mary hunbig kuwa ni mkeo!?huwezi kuwa hujalewa, wake up kijana
 
Last edited by a moderator:
Post imekufa na ushahidi wangu, lakini bado lazima nifungue uzi mpya. Nakinukishaaaa, ngoja tutoke white party. Kama vipi ntajibanza hata sehemu niwamwagie ukweli
 
stevoh kuwa makini ile thread nimeipitia nimepigwa na butwaa akipost huyo unayemwita mkeo ukija kwenye qoute unakuta hiyohiyo post ina jina la mndali

Aisee nina wasiwasi na huyu stevoh, isije ikawa tayari alishalishwa madude kwa hiyo nyeusi anaiona njano
 
Last edited by a moderator:
Post imekufa na ushahidi wangu, lakini bado lazima nifungue uzi mpya. Nakinukishaaaa, ngoja tutoke white party. Kama vipi ntajibanza hata sehemu niwamwagie ukweli
tunakusubiria mkuu wengine tumepitwa tulikua mabwepande.
 
Mkeo nilishawahi kumwambia kuwa sio mgeni humu. Akaishia kusema . . . no comment, kumbe ndo maana yake hiyo??? hahah pole sana stevoh!
 
Last edited by a moderator:
Asante mkuu.
Mkeo nilishawahi kumwambia kuwa sio mgeni humu. Akaishia kusema . . . no comment, kumbe ndo maana yake hiyo??? hahah pole sana stevoh!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom