baba v naomba kujuzwa.

mshana org

JF-Expert Member
Jan 28, 2012
2,092
1,225
nahitaji kujuzwa warembo masingo waliopo humu.baada ya mbio zangu kwa elizabeth dominic kugongo ukuta sasa nahtaji wakunituliza.lakini naogopa kuvamia wenye ndoa zao nisije pandikiziwa zinga la bush mie.tafhadhali baba v na kamati yako ya mahusiano naomba ushirikiano wenu.nb.kama yupo aliye singo anakaribishwa kwenye kisiwa cha malavidavi.
Wenu
Mkiva
 
Chilli

JF-Expert Member
Jul 17, 2011
1,656
2,000

We nawe mkiva si ungesubiri kwanza mi nipateee? Ah!
 
Last edited by a moderator:

ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,789
2,000
nahitaji kujuzwa warembo masingo waliopo humu.baada ya mbio zangu kwa elizabeth dominic kugongo ukuta sasa nahtaji wakunituliza.lakini naogopa kuvamia wenye ndoa zao nisije pandikiziwa zinga la bush mie.tafhadhali baba v na kamati yako ya mahusiano naomba ushirikiano wenu.nb.kama yupo aliye singo anakaribishwa kwenye kisiwa cha malavidavi.
Wenu
Mkiva

soma yale mambo ya mkeo kuflirt huu uzi utakusaidia sana..
 
Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,487
2,000
Kijana mkiva sio wote hapa ndani wameweka status zao wazi,nadhani kumu approach mtu si vibaya ila cha msingi kama akikuambia yeye mwenyewe kuwa yuko engaged basi ni vema ukamuelewa,pia just in case ukipata mtu wafikishie taarifa kamati ya SCREENING ambayo iko chini ya Mamndenyi The Boss na Ruhazwe JR ambao wakijiridhisha kuwa kati yenu hakuna anayemilikiwa na member mwingine hapa basi wataleta ripoti yenu kwangu kwa ajili ya kuhalalisha na kutangaza mbele ya wanajamvi wote, otherwise ALL THE BEST in your course of searching
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom