yote anayofanya rais ni sahihi isipokuw anafanya nje ya vipengele vyake muhimu Sera ya viwanda imekufa hakuna hat a kimoja kilichofufuliwa mikopo mil 50 kila kata hakuna wakina mama ni wepesi sana kusahau mateso ya ccmHali si shwari mtaani just imagine hii ni saut ya mbaba mmoja hapa mtaani mbezi kwa msuguri....
Namkuu ....
Naenda kibadilisha mtungi wa gesi toka 18000 mwezi jana hadi 21000 mwezi huu kwan mabomba yamekata kuleta gesi???
Naambiwa nina cheti feki wakati nimebakiza mwaka mmoja kusitahafu hivo mafao yangu mnakula Just Imagine...
Bado ninauguza kidonda cha eti nina cheti feki naambiwa nyumba yangu ipo kwenye road reserve Mt 112.5 nibomoe Just imagine .... niende wap mm nina familia na watoto na nguvu imekata....
Hadi naondoka kijiweni mzee analalama halo si shwari kiujumla
Baba legeza sie wote watanzania kama wewe
Mkuu achaa tuisome no.Hali si shwari mtaani just imagine hii ni saut ya mbaba mmoja hapa mtaani mbezi kwa msuguri....
Namkuu ....
Naenda kibadilisha mtungi wa gesi toka 18000 mwezi jana hadi 21000 mwezi huu kwan mabomba yamekata kuleta gesi???
Naambiwa nina cheti feki wakati nimebakiza mwaka mmoja kusitahafu hivo mafao yangu mnakula Just Imagine...
Bado ninauguza kidonda cha eti nina cheti feki naambiwa nyumba yangu ipo kwenye road reserve Mt 112.5 nibomoe Just imagine .... niende wap mm nina familia na watoto na nguvu imekata....
Hadi naondoka kijiweni mzee analalama halo si shwari kiujumla
Baba legeza sie wote watanzania kama wewe
Tena atulie wakati tunamnyoa hiyo 2020Wacha ainyoshe nchi... Ila na ye ajiandae kunyoshwa 2020 na wenye nchi!
Kila kijiji mkuu, sio kata.yote anayofanya rais ni sahihi isipokuw anafanya nje ya vipengele vyake muhimu Sera ya viwanda imekufa hakuna hat a kimoja kilichofufuliwa mikopo mil 50 kila kata hakuna wakina mama ni wepesi sana kusahau mateso ya ccm
Tungekuwa karibu tungebet. Atapata zaidi ya 85% ya ushindi.Wacha ainyoshe nchi... Ila na ye ajiandae kunyoshwa 2020 na wenye nchi!
Hahaa eti gonga gear, hahaa magu bana analala na kona za kitonga kama haoni kuna kuna, malori yanapisha njia kwa kasi na kubaki kusoma namba jamaa yuleeeee TZ 2018 DZZ.Rais wetu mtukufu achaa anyoshe nchi .gonga gia derever.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpk tuje kuikamata 2020 tutakua tupo kyelaHahaa eti gonga gear, hahaa magu bana analala na kona za kitonga kama haoni kuna kuna, malori yanapisha njia kwa kasi na kubaki kusoma namba jamaa yuleeeee TZ 2018 DZZ.