Baba Tunakukumbuka

Baba Tunakukumbuka

Kwa upande wangu Mimi naona yanayoendelea yote ni sawa tu, watanzania tumezidi unafki. Kagufuli alijitoa sana kuipambania nchi hii lakini tuksungana na wezi kumshambulia na kumtukana.
Na bado yajayo yanafurahisha
Kwani hangaya ni mpinzani?muungeni mkono hata kama mnahisi hawezi hasa mkikumbuka ule wimbo wenu maarufu ''ccm ni ile ile ooh ni ile ile'
 
Wewe ulitaka wale bata?
Uliambiwa jela ni hotelini?
Kaa kimya kuficha ujinga wako kwa sababu huna akili wala uwezo wa kuelewa hiyo habari ya BBC hapo.

Hakuna anaepinga wafungwa kufanyishwa kazi kwa kuwa hilo lipo kwa mujibu wa katiba na sheria zetu.

Unique feature ya hiyo habari ya BBC siyo wafungwa kufanyishwa kazi.

Jambo ambalo linaonyesha kuwa Magufuli hana akili kwenye hiyo habari ni kitendo chake kuagiza wafungwa wafanyishwe kazi usiku na mchana na wapigwe mateke kitu ambacho ni kinyume na katiba yetu.

Licha ya Magufuli kufanya kazi muda mrefu serikalini lakini anashindwa kuelewa jambo dogo kabisa kuwa nchi haiendeshwi kwa mujibu wala kwa matakwa wala kwa mapenzi ya Rais bali kwa mujibu na matakwa ya katiba.
 
L

Hakuna anaepinga wafungwa kufanyishwa kazi kwa kuwa hilo lipo kwa mujibu wa katiba na sheria zetu.

Unique feature ya hiyo habari ya BBC siyo wafungwa kufanyishwa kazi.

Jambo ambalo linaonyesha kuwa Magufuli hana akili kwenye hiyo habari ni kitendo chake kuagiza wafungwa wafanyishwe kazi usiku na mchana na wapigwe mateke kitu ambacho ni kinyume na katiba yetu.

Licha ya Magufuli kufanya kazi muda mrefu serikalini lakini anashindwa kuelewa jambo dogo kabisa kuwa nchi haiendeshwi kwa mujibu wala kwa matakwa wala kwa mapenzi ya Rais bali kwa mujibu na matakwa ya katiba.
Jinga kabisa, ulimpinga Magufui ulimtukana na kumpinga na Chui jike pia humtaki.
Kaa kwa kutulia, au unataka aongoze mzee wako?
 
Jinga kabisa, ulimpinga Magufui ulimtukana na kumpinga na Chui jike pia humtaki.
Kaa kwa kutulia, au unataka aongoze mzee wako?
Sasa kati ya Mzee wangu na huyu unaempigia debe ni nani bora?👇
 
Ni usiku wa manane, na ndoto inanijia,
Leo hii jumanne, ndio imenitokea,
Katika kiza kinene, na wewe umenijia,
Baba tunakukumbuka,ulale pema peponi,

Ni mengi tumeongea, nilipokuwa ndotoni,
Pia ukatuusia, ya kufaa maishani,
Nami nikafurahia, pasi jua ni ndotoni,
Baba tunakukumbuka, ulale pema peponi,

Upendo uso kifani, baba ulituonyesha,
Ukatutoa kizani, kutufundisha maisha,
Tukapelekwa shuleni, ujinga ukakomesha,
Baba tunakukumbuka, ulale pema peponi,

Ulifunza uzalendo, tuijenge nchi yetu,
Ukatufunza upendo, ili iwe tunu kwetu,
Hata walo kandokando,walijifunzia kwetu,
Baba tunakukumbuka, ulale pema peponi,

Tangu ulipoondoka, mambo yamebadilika,
Wanao tunateseka, tunazidi kupigika,
Hayawani watusaka, himaya wameiteka,
Yote uliyokataza, wenzio wanaharibu,

Wale waliokutii, leo wamekugeuka,
Leo hawafuatilii, wote wamekengeuka,
Watoto hatutulii, twazidi Kulalamika,
Baba tunakukumbuka, ulale pema peponi,

Uchumi uloujenga, wenzako wauvuruga,
Wanatuona Wajinga,ndio maana watupiga,
Tena wanatusimanga,hata pasipo uoga,
Maisha yetu magumu,kila kona wamebana,

Wale maadui zetu,leo ni wetu rafiki,
Wanataka Mali zetu,waondoke nazo nduki,
Tutabaki bila kitu,kisa urafiki feki,
Baba tunakukumbuka, ulale pema peponi,

Wale ulowakataa,amewaleta chumbani,
Vinono wanajilia,na kuficha kibindoni,
Makapi twaambulia,sisi jama masikini,
Mali ulotuachia,zinaliwa na Wahuni,

Mara nikashitukia, ndoto imeniishia,
Nikabaki ninalia,ukiwa kutuachia,
Nani wa kutusemea,watesi kuwaondoa?,
Baba tunakukumbuka, ulale pema peponi,
Rubbish 🚮🚮
 
Ni usiku wa manane, na ndoto inanijia,
Leo hii jumanne, ndio imenitokea,
Katika kiza kinene, na wewe umenijia,
Baba tunakukumbuka,ulale pema peponi,

Ni mengi tumeongea, nilipokuwa ndotoni,
Pia ukatuusia, ya kufaa maishani,
Nami nikafurahia, pasi jua ni ndotoni,
Baba tunakukumbuka, ulale pema peponi,

Upendo uso kifani, baba ulituonyesha,
Ukatutoa kizani, kutufundisha maisha,
Tukapelekwa shuleni, ujinga ukakomesha,
Baba tunakukumbuka, ulale pema peponi,

Ulifunza uzalendo, tuijenge nchi yetu,
Ukatufunza upendo, ili iwe tunu kwetu,
Hata walo kandokando,walijifunzia kwetu,
Baba tunakukumbuka, ulale pema peponi,

Tangu ulipoondoka, mambo yamebadilika,
Wanao tunateseka, tunazidi kupigika,
Hayawani watusaka, himaya wameiteka,
Yote uliyokataza, wenzio wanaharibu,

Wale waliokutii, leo wamekugeuka,
Leo hawafuatilii, wote wamekengeuka,
Watoto hatutulii, twazidi Kulalamika,
Baba tunakukumbuka, ulale pema peponi,

Uchumi uloujenga, wenzako wauvuruga,
Wanatuona Wajinga,ndio maana watupiga,
Tena wanatusimanga,hata pasipo uoga,
Maisha yetu magumu,kila kona wamebana,

Wale maadui zetu,leo ni wetu rafiki,
Wanataka Mali zetu,waondoke nazo nduki,
Tutabaki bila kitu,kisa urafiki feki,
Baba tunakukumbuka, ulale pema peponi,

Wale ulowakataa,amewaleta chumbani,
Vinono wanajilia,na kuficha kibindoni,
Makapi twaambulia,sisi jama masikini,
Mali ulotuachia,zinaliwa na Wahuni,

Mara nikashitukia, ndoto imeniishia,
Nikabaki ninalia,ukiwa kutuachia,
Nani wa kutusemea,watesi kuwaondoa?,
Baba tunakukumbuka, ulale pema peponi,
Mkumbuke mwenyewe, jambazi kabisa lile
 
Back
Top Bottom