Chuma Chakavu
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 1,523
- 653
we acha , nitazoea tu, kuna watu wanaitwa Baba Osama, Baba Yuda (msaliti wa Yesu) sembuse mimi!duu! msala, ila kwa kuwa ulishakubali yeye achague jina hiyo ni ahadi na ukiivunja utakuwa huna msimamo lakini hilo ni jina tu kuhusu tabia ataiga kuanzia kwenu wazazi,kwa majirani au kwenye jamii kwa ujumla ila msingi wa tabia jitahidi mjenge nyie wazazi! pole sana BABA 'FISADI'
shukran kwa hongera itabidi dogo nimlee awe na maadili mema sana tofauti kabisa na mtuhumiwaPole sana kuna majina mengine ni noma sana kuwapa watoto hasa kama majina hayo yanaweza kutumiwa katika kuwatenga au kuwanyanyasa watoto wenye majina hayo. Kama umelikubali basi hakuna ubaya. Hongera sana kwa kupata mtoto.
mkeo ana elimu gani?we acha , nitazoea tu, kuna watu wanaitwa Baba Osama, Baba Yuda (msaliti wa Yesu) sembuse mimi!
kwani mtoto wa bill gates anaitwa nani?Ndo yaleyale ya mtoto wa Bilgates
yaah, ni jina la kiajemi sisi tumezoea kuwapa watoto wetu majina ya kizungu na kiarabu na ya kibantu kiaina!Ila jina Rostam limetulia halipo common.
mkeo ana elimu gani?
diploma in journalism, do you think her education level has anything to do with her choice of name?mkeo ana elimu gani?
mimi si mmakonde na wala si kabila moja na mke wangu ambae naye si mmakondeNyie Wamakonde nini hahaha! ? maana wenyewe jina lolote linalovuma kwenye vyombo vya habari wakati huo ndio hilohilo Bush twende,Saddam twende, koffi Annan twendeOchama twende yaani vurugu tupu.
Please you nid to think twice kabla mambo hayajahrbika mbeleni. Hivi mnataka watoto wenu waje kuwalaani sababu ya majina mliowapa wakati wadogo? Hilo jina linaweza kuja mcost huko mbeleni hasa katika mambo ya ajira. Anaweza fikiriwa fisadi ingw ni mtu mwema 2. Hy ni mwz yangu lkn.
mkuu wala usibishe uchaguzi wa username yako hii pia inatoa mwanga flani lol!mimi si mmakonde na wala si kabila moja na mke wangu ambae naye si mmakonde
Please you nid to think twice kabla mambo hayajahrbika mbeleni. Hivi mnataka watoto wenu waje kuwalaani sababu ya majina mliowapa wakati wadogo? Hilo jina linaweza kuja mcost huko mbeleni hasa katika mambo ya ajira. Anaweza fikiriwa fisadi ingw ni mtu mwema 2. Hy ni mwz yangu lkn.[/QUOTE
Ok, hilo laweza tokea iwapo unaaminii huko mbeleni watakuwa wanaajiri kwa kuzingatia majina badala ya qualifications!]