Baba Riz anapoingia jikoni....!

Jioni hii nimemuona baba riz akitumika kuadvertise tangazo la TRA....eti wananchi wenzangu toeni kod kwa maendeleo! Mwe! Me nimebaki na mawazo mengi, je ni ameishiwa kiasi hcho..? Hapakuwepo na watu wengne wa kuadvertiz mpaka rais? Au vile apenda uza sura? Me naona Hii ni kama baba kuingia jikoni kupika hali mke na watoto wako around tena hawaumwi wala hawana tatizo...!

Aise mkuu bado una mawazo ya kizamani mno, kwani baba hawezi kupika hata kama mke na watoto wa kike wakiwepo? Kuna ubaya gani kwa mzee kukorofisha msosi kwa familia yake?
Na sio swala la kupika tu, baba anaweza akaosha vyombo, kusafisha nyumba na kazi zingine zote za nyumba, hata kama yeye ni breadwinner, hayo ndio maisha tuliyonayo sasa, hakuna kazi ya kike wala kiume kwenye dunia ya leo, labda ndio maana umaskini hautuishi bongo kwa fikra hizi kama zako?!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom