mtaani kwetu kuna jibaba linatembea na mtoto wake (binti yake) wa kufikia (kambo). Mama mtu ameenda kushitaki kwa mwenyekiti wa mtaa kuwa mumewe amemdhalilisha. Naleta kwenu wanaJF kwa ushauri na mawazo maana kesi ni Jpili ya kesho kutwa na mimi ni mmoja wa wanabaraza. Ingekuwa wewe ungeiamuaje hiyo kesi???
njemba imekula bi mdashi inaonja na mwana pia! huyo mama adai talaka tu kama vipi..binti nae atakuwa na tatizo kichwani ...nyama ngumu kwa matumizi ya mama yake naye atumie!? sh@**t!
mtaani kwetu kuna jibaba linatembea na mtoto wake (binti yake) wa kufikia (kambo). Mama mtu ameenda kushitaki kwa mwenyekiti wa mtaa kuwa mumewe amemdhalilisha. Naleta kwenu wanaJF kwa ushauri na mawazo maana kesi ni Jpili ya kesho kutwa na mimi ni mmoja wa wanabaraza. Ingekuwa wewe ungeiamuaje hiyo kesi???
mtaani kwetu kuna jibaba linatembea na mtoto wake (binti yake) wa kufikia (kambo). Mama mtu ameenda kushitaki kwa mwenyekiti wa mtaa kuwa mumewe amemdhalilisha. Naleta kwenu wanaJF kwa ushauri na mawazo maana kesi ni Jpili ya kesho kutwa na mimi ni mmoja wa wanabaraza. Ingekuwa wewe ungeiamuaje hiyo kesi???
Kama binti ni over 18 basi mama awapishe tu. Kimaadili haija kaa sawa ila huwezi kuwalazimisha watu kufata maadili. Kama yuko under 18 mpelekeni mahakamani (hata kama binti yuko over 18 but walianza akiwa under 18). Huyo mama akubali tu kua kapikuliwa.