hernanes96
Member
- May 2, 2015
- 16
- 6
Baba; Hivi mwanangu pindi ninapokupa kisago cha mbwa mwizi hasira zako unamaliziaga wapi?
Dogo; Huwa nachukua mswaki wako nasugulia chooni.
Dogo yupo "ICU" anapumulia mashine.
Dogo; Huwa nachukua mswaki wako nasugulia chooni.
Dogo yupo "ICU" anapumulia mashine.