Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,374
- 38,248
Hapa utamjua babake 2pac!
Lumumba Abdul Shakur :
Kwa wamarekani wengi, wanaomjua huyu jamaa, wanasema hakuwa baba halisi wa 2pac , lakini Lumumba alikuwa mume wa Afeni (mamake 2pac) wakati huyu mama alipopata mimba ya aliekuja kuwa 2pac!
Billy Garland :
2pac alizaliwa wakati Lumumba Abdul Shakur alikuwa jela kwa kulipua jengo la umma . Tupac kamwe hakujua kwa uhakika nani ni baba yake, yeye mara ya kwanza alikutana na Billy (Afeni alimzaa 2pac akiwa kwa Alice Fayne Walker na Billy Garland) alipokuwa na miaka 5 , lakini kamwe hakuwa na uhusiano nae mzuri. Tupac aliwai kumtaja William Garland mara moja : "Nilidhani baba yangu amekufa, maisha yangu yote! Baada ya mimi kupigwa risasi, kulikuja (mtu) nigga huyu anaonekana kuwa na sura kama mimi, nimefanana nae sana! Naye ni baba yangu; hapo ndipo nilipokuja kumjua! Hatukujishughulisha na vipimo vya DNA
Baada ya kifo cha 2Pac, Afeni na Billy walifanya vipimo vya DNA kwa damu ya 2pac, vipimo vilifanyika Long Beach Genetics , matokeo yalionyesha kuna uwezekano wa Afeni na Billy kwa 99.97% kuwa wazazi .
Mutulu Shakur :
Mutulu na Lumumba, hawa ni ndugu, ndio kusema Mutulu ni baba wa kambo wa 2pac! Shida ni kwamba, Tupac mwenyewe aliwai dai kwamba Mutulu ni baba yake hasa (na hapa watu wengi waliomzunguka 2pac walilikiri hili). 2pac alitumia muda mwingi kuwa pamoja na Mutulu mpaka Mutulu alipotupwa jela, ktk watu wanaotajwa kama baba wa 2pac, huyu ndio mtu aliependwa sana na kuwa karibu na 2pac. Mutulu alikuwa jela wkt Tupac anauawa. Mutulu Shakur ambaye kuna wakati anatajwa kama Dr. Mutulu, alizaliwa Baltimore, Maryland, Agosti 8, 1950, akijulikana kama Jeral Wayne Williams. Alikuwa mtu wa karibu sana wa Malcolm X pamoja na viongozi wengine kadhaa wa Haki za Kiraia na hasa vijana. Alihamia Harlem huko New York City katika miaka ya 1970. Shakur baadaye alijiunga na kilichotajwa na wamarekani weusi kama Jamhuri ya New afrika na BLA (Black Liberation Army). Alihusika na wizi wa benki kadhaa na shughuli nyingine za kimafia. Mutulu Shakur anajulikana pasi na shaka yoyote kuwa ni baba wa rapa Mopreme Shakur, 2pac mara kadhaa amemtaja Mopreme Shakur kuwa ni ndugu yake. Na hapa ndio msingi wa hoja kuwa Mutulu ndiye baba wa Tupac. Shakur alihojiwa wakati wa tuzo za Oscar-ambayo alishinda kwa kupitia documentary Tupac: Ressurection, ambamo alielezea jinsi yeye alivoandika kitabu "Thug Life " kwa kushirikiana na Tupac, akielezea ujumbe wa kupambana na madawa ya kulevya na vurugu.
Barua kutoka kwa Mutulu Shakur kwenda kwa Tupac:
Kumbuka kifo cha 2pac kilitokea wakati Mutulu yuko jela - Federal Penitentiary iliyopo Florence, Colorado, usiku wa kwanza baada ya mauaji ya 2pac, kutokea jela Mutulu aliandika hivi:
"To My Son"
I love you whenever....forever. Tupac, so much I needed to say, so much you wanted to say. Many conversations between us within the ether, whenever forever.
The pain inflicted that scarred your soul but not your spirit gave force to the rebellion. Many couldn't see your dreams or understand your nightmares. How could they, Tupac? I knew your love and understood your passion. But you knew of your beginning and saw your end....racing towards it.
You taught and fought through your songs and deeds. RATT-TATT-TATT of words penetrating the contradiction of our existence.
Whenever....forever
Who cares? We cared, Tupac. The Shakurs have been guided by struggle, prepared or not, whenever....forever. We've exposed our existence, naked from fear, to those who would hear the positive. Who would witness the stress, wear and tear of this lonely path. You couldn't have evaded the effect or the changes. You inherited it, it was in your genes.
But still, you danced your dance, you lived your life. You forced loyality on those who would fake and shake at the true vision. You were Tupac
Like the four seasons, we come to this planet taking form, becoming elements of nature, Some of us are only one season, and others like you were part of many seasons. This dynamic will scare most anyone who realized the burden at such an early stage of life. You fought well. We love you. We understand....forever, whenever.
Please give my love to our family. Ask them to help you on the other side. Tell Zayd, Lumumba, Aby, Brother Leggs, Mtaryi, Attallah, that they are to continue to help us down here. Shakur's love is strong. Whenever....forever
Friday 13th didn't mean a thing. Life is for living and dying well. Whenever.....forever. Allah knows best. We choose the quality of our life. You understand the pain of disappointment in the ones we love. You pushed so many away. Burnt so many bridges so they wouldn't follow you into battles against the demons you were facing. Knowing well to what lengths you would go. This battlefield of reality is littered with many meaningless casualties
You never yelled out "Somebody, save me!" You only asked for your soul to be free, whenever....forever. You told us to keep our head up, knowing the pain was coming. Knowing to look for the strength in the heavens. Set your soul free, Tupac Amaru.
We keep waiting in vain for their love
Will your levitation be awakening of us all?
The division unsettling to our dreams and goals?
You passing demanding repentance and resistance?
We keep waiting, not in vain. We give you love. Give us love.
To my brother and son, these emotions are hell. I wish you well in the next journey. My soul aches for comfort. In our next life we will finish our unfinished journey. Whenever.....forever
For now Tupac, we will hold our heads up. This journey is at an end, your ashes are in the wind. Friends and enimies will have to look to the stars. You are truly a star. A star navigating through the dynamics of this, your path chosen before you arrived. Lessions we've gained will materialize after you're gone. Whenever....forever
Your family will keep the spirit high, for we are Shakurs. We are thankful for what life gives us. Through the pain and the struggle we are blessed by the victory. Go forward, Tupac.
The victories---we will teach your mission, we are thankful for you. We love you, Tupac Shakur. We ain't mad at you, we'll be better because of you.
So now I give you my tears so I might assimilate your loss and I can live on in peace.
Knowing I will feed your spirit with my unconditional love, knowing you will need it on your next journey.
May Allah bless you for your deeds and forgive your errors.
Tupac come to me an give me strength.
Love always.
Your father, friend, comrade, Mutulu Shakur.
Nawasilisha!