Baba Mwema Ndio HUYU

sio mwehu ni maisha magumu\

riziwani angemgawia kidogo tu, mama asingemkimbia
 
Mbuzi Mzee,

Mkuu, hapo hamna cha wema wala nini... ni kukosa tu ingenuity kwa Waafrika walio wengi. Matatizo mengine tunajitakia tu... sasa hapo ufanisi wa kazi utapatikana baada ya masaa mangapi bila kumkurupusha mtoto usingizini na vumbi la tofali??!

Alishindwa nini kutengeneza walau kimwamvuli cha uongo na kweli kwa kusimika miti miwili au minne (maana na cement anaoyo) tu, kisha kutafuta kitenge kigumu na kutengeneza chaga ya kuning'inia (hammock)??!






​
 
Last edited by a moderator:
Ni mwema, kama matatizo mengine ya vumbi n.k yatampata mtoto hilo ni suala jingine la uelewa.
Ukioa mwanamke liberal na mbeijin' kama Kaunga kazi type hiyo lazima uzifanye.........!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu picha ulizoweka ziko kistarehe zaidi... Kumbuka jamaa anajenga kichakani, hivi hicho kimwamvuli na nyoka, utitiri, mchwa, siafu, tandu nk. Vinaendana?


if yo have children utanielewa when it comes to leaving children kwenye floor na hasa ikiwa kichakani
 
Hapo mtoto anafundishwa kazi tokea akiwa mdogo....mambo ya "mtoto umleavyo ndivyo akuavyo".
 

mkuu hiyo inawork pale ambapo mtt hana uhitaji wa kubebwa hivi unajua kwamba kunamuda mtoto anataka kubebwa tu askie harufu ya mtu??

Wafikiri wenye baby prams ambazo zinawabembeza watoto hawabebi watoto wao?? Kumbeba mtoto ni haki ya mtt.
 
mkuu hiyo inawork pale ambapo mtt hana uhitaji wa kubebwa hivi unajua kwamba kunamuda mtoto anataka kubebwa tu askie harufu ya mtu??

Wafikiri wenye baby prams ambazo zinawabembeza watoto hawabebi watoto wao?? Kumbeba mtoto ni haki ya mtt.
well said

Kids have attitude too....
 

Hzo zinafanya kazi kwa muda tu, huwez jua hata yeye ana kiota chake cha kumficha mtoto apumzike. Lakn kuna muda mtoto anahitaji kubebwa, hata mimi kuna mida huwa natamani kugusana na mwanangu, kama amelala ntamsogeza nimkumbatie,kama hajalala ntambeba alimradi tu nimguse, chezea mapenzi ya mwana wewe, kuzaa raaha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…