Baba Mkwe ananidai Mahari

Acha uoga ww mpe iyo iyo mwabie ndio uliyo nayo kwa sasa hawezi kataaa labda awe kachanganyikiwa
 
Sijui utamaduni wenu huko ila huku sisi wasukuma Og achana na wasukuma wa mchongo.

Sisi huku ukitoa mahali ya kuanzia tu inayobaki mkwe huwa haidar yeye kama yeye bali hutuma wazee walewale walikuja kuchukua mwanzo ile mahali.

Huongei naye direct kuhusu mahali mnaweza ongea hata lisaa kwa simu lakini kamwe hawezi kugusia baki ya mahali. Bali wazee wa mwanzo kabisa ndo watakudai mahali.

Na hao usiogipe kuwaambia ukweli wako wote waeleze A-Z kisha watafikisha ujumbe kwa mkwe wako.


Ukiona mzee anadai mwenyewe ongea na mke wako aongee na mama yake amueleze kisha mama mkwe wako atafikisha ujumbe ikulu chamwino au magogo.

Ikiona mbinu hiyo haifui dafu mwambie mkeo hela sina na mzee hanielewi ili nisigombane nae rudi kwanza home kwenu nijipange(usiogope hata enda akienda umeshachokwa mbaya)

Ukiona kaenda wala usijishughulishe kumuambia aje wala nini piga kinya hadi akutafute wewe.

Mzee akikucheki mwambie mzee bado sijafanikiwa.

Usiogope kupata wala kupoteza bro mchane mzee ukweli kuwa huna kwa sasa iliyopo ni 500k hta mkeo anaju
 
Mpelekee hiyo nusu half muongezee na odds mbili za uwakika

Ushamaliza deni
Subl mech ya Tanzania vs Morocco, mpe morocco ashnde na goli mbili, mpe na Egypt ushndi kwa Benin, Madrid double chance na arsenal double chance, mech zote wikend hii, weka mzigo wote odds 3 hizo, mech kuisha umpe mzee M yake, bakisha laki tano fanyia mambo yako!
 
Mtoa mada anafeli wapi
 
Acha uoga ww mpe iyo iyo mwabie ndio uliyo nayo kwa sasa hawezi kataaa labda awe kachanganyikiwa
Nimeongea nae kaikubali ila sasa bado amenibana kwa kuniuliza nitamalizia lini kiasi kichobakia, kabla ya hapo alisita kuchukua kwakusema mbona kiasi ni kidogo ingekua Vizuri niongeze angalau ifike laki 7.
 
Mbona mimi baba mkwe msukuma ananidai mahari kama songesha 😂next time akinipigia natia block
 
Lipa hiyo mahari uishi kwa amani! Ingawa mahari huwa haidaiwi kihivyo mpaka mtu uteseke. Sisi baba alidaiwa na babu mpaka wakasahau! Tusidharau mila za watu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…