Baba Mkwe ananidai Mahari

Akili za kimasikini Sana , moja Kati ya vitu vya kipuuzi katika jamii ya MTU mweusi hasa Africa ,mahali ni utumwa uliovalishwa gamba feki la appreciation kwa wakwe ,upuuzi mkubwa Sana
 
Shule zinafunguliwa lini?
 
Mrudishie binti yake mwambie aache njaa
 
 
 
 
Hapo bado kabisa.Jiandae kulipa za uchakavu wa godoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…