Lech Poznan
JF-Expert Member
- Jul 3, 2025
- 683
- 1,019
Poa nitampa hiyo nusu.Mpe Hiyo nusu hawezi kuikataa.
Kitanzi kinakuja kivipi?R.I.P in advance.
Kama umeanza kuchanganyikiwa kitanzi kinakuja
Kwahiyo una nishauri nisimtafute ?Achana nao,mkuu uwe una hudhuria vikao
Wenzio huwa hatumalizii mahari,wanakula nusu inawatosha
Kwanza umewasaidia sana kumsitiri mtoto wao
Me nilivpupitia uzi nikajua makosa matatuAchana nao,mkuu uwe una hudhuria vikao
Wenzio huwa hatumalizii mahari,wanakula nusu inawatosha
Kwanza umewasaidia sana kumsitiri mtoto wao
Mke mwambie hunaKitanzi kinakuja kivipi?
Kwahiyo una nishauri nisimtafute ?
Huyu Mke wangu ananisumbua kweli mpaka kuna muda nataka kumfokea ila nauchuna na anataka nilipe mahari yote.
Ndio maana ya kutuma wazee kwenye negotiation ya mahali.. vijana tulienda wenyewe tunapasuliwaga alafu tunaonaga kama aibu kulia ishushweeeDuhhhh...
Imesikitika sana
inabidi tuongezee hii kama aina mpya ya malipo😁 Lipa kwa oddsMpelekee hiyo nusu half muongezee na odds mbili za uwakika
Ushamaliza deni
Hapa nilipo nime changanyikiwa kabisa, Baba mkwe wangu ananidai Mahari Nimalizie Nusu iliyobakia shilingi Milioni moja na Mimi kwasasa Mambo Magunu na tulikubaliana Mwezi huu wa kumi na mbili sasa Mambo yangu bado siyo Mazuri na uwezo wa kumpa hiyo Milioni hakuna ila nina Nusu yake, Shida ni jinsi ya kumpigia simu na kumueleza inaonekana yeye anahitaji Milioni
Kwasasa anampigia simu mwanae na kumuulizia na Mke wangu kila siku ananiuliza umempigia simu Baba yani mpaka wakati mwingine nakua na hasira, Najiuliza Je, nimpigie simu nimwambie kiasi nilichonacho na Je, akigoma kuchukua nitafanyeje?
Naombeni Ushauri wenu maana wakati mwingi nakua na mawazo.
Kwani ukigoma kumpa atafanyaje?Hapa nilipo nime changanyikiwa kabisa, Baba mkwe wangu ananidai Mahari Nimalizie Nusu iliyobakia shilingi Milioni moja na Mimi kwasasa Mambo Magunu na tulikubaliana Mwezi huu wa kumi na mbili sasa Mambo yangu bado siyo Mazuri na uwezo wa kumpa hiyo Milioni hakuna ila nina Nusu yake, Shida ni jinsi ya kumpigia simu na kumueleza inaonekana yeye anahitaji Milioni