Baba Mama na Mtoto.............nani amewaona?.

Yani wote mmeshindwa kuwaona asee.
 
Baba kaangalia kulia na ana mustach, mtoto katazama nyuma namtafuta mama
 
Baba kaangalia kulia na ana mustach, mtoto katazama nyuma namtafuta mama

Mama mbona yupo hapo hapo mtazame uzuri tu mkuu...........baba na mtoto umepata kiongozi.
 
Baba katazama kulia, mama katazama kushoto, mtoto yupo chini ya pua ya baba
 
Ni babu, bibi na mjukuu ni muendelezo wa old lady - young lady paradox.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…