Elias Msuya
Senior Member
- Dec 23, 2011
- 173
- 671
Muda mfupi baada ya Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa Chama cha ACT Wazalendo, Abdul Nondo kuchukua fomu ya kugombea ubunge Kigoma Mjini, kada wa CCM, Clayton Revocatus Chipando maarufu Baba Levo anayewania jimbo hilo, amedai kuwa hizo ni njama za kumwepusha kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo asipambane naye.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Baba Levo amesema anamtaka Zitto katika Kinyang’anyiro hicho na sio Nondo.