Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 505
- 887
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo, amesema Watanzania watashuhudia aina ya ubunge tofauti na waliyozoea.
Chipando amesema watu wengi huamini kuwa wabunge hubadilika wanapopata madaraka na kujiona kama “mabosi”, lakini kwake itakuwa tofauti, kwani anaamini wananchi anaowaongoza wanatarajia aendelee kuwa mtu wa kawaida anayewasikiliza.
Ameyasema hayo tarehe 11 Novemba 2025, wakati akizungumza na wanahabari katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma.