Nawewe kumbe mjinga kama huyu tutusa chawa wa Diamond, Polepole aliacha ukatibu wenezi miaka mingapi nyuma? Polepole anamiaka 4 kaisha pita waenezi kama wamne,inamaana amri ya Polepole ilikuwa ni sheria ilishindwa kutenguliwa, kwakweli mwaka huu tutasikia mengi.