GE2025 Baba Levo ajitambulisha Bungeni, atamba, "niliangusha Mbuyu"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Mbunge mteule wa Jimbo la Kigoma Mjini Kupitia CCM, Clayton Revocatus Chipando maarufu Baba Levo alivyojitambulisha Bungeni leo Novemba 11, 2025.

Sasa hawa wataisimamia serikali gani ikiwa wao wenyewe wameingia kwa wizi wa kura? Hata ripoti ya CAG hawawezi chukulia hatua mafisadi sababu mwizi hawezi kuwa na confidence ya kumtoa mwizi.

Hii miaka 5 itakua migumu sana, tufunge mkanda tu.
 
Baba Levo mbona kama anafanya uboya sana
Watu wa Kigoma safari hii mtaingizwa mkenge
Badala ya kuweka Wabunge waliosoma Sheria mnaweka kiazi
 
Soma katiba ubunge sio chama cha wanasheria ndu ni chombo cha kutunga sheria tu na kinachohitajika ni wananchi wako wakupende wakutume bungeni basi
 
Mkuu kwa dunia ya sasa na kiwango cha elimu ya sasa pale hamna kitu wala msimpake manukato
Labda kipindi cha Nyerere ila kwa sasa hapana
 
Swa hana elimu kabisa lakini ndo wananchi wamemchagua tufanyaje ? ungeniuliza mimi ningesema nataka bunge liwe na wabunge 80 tu na wa kuteluliwa 20 basi tuokoe gharama na kuondoa wakuu wa wilaya wote nafasi zao zishikwe na ma DAS
 
Mkuu ukitaka Bunge zuri unachukua

Wataalamu wa Elimu
Wataalamu wa Uchumi
Wataalamu wa Sheria nakadhalika

Lengo la kufanya hivyo ni wao wakupe maono ya nchi na sio kwenda kucheka cheka bungeni kama ngedere

Dunia ya leo haitaki vichekesho inataka Nuru ya maendeleo
 
Halafu kuna umbwa zinaona CCM itafiisha nchi popote..... yani watu milioni 70 tunaongozwa na low brains kama hizi??? Kwanini waarabu na wachina wasifilisi nchi
 
Mkuu wewe mwelewa sana
Yule jamaa ni kiazi kwasababu kwa dunia ya sasa ilipofikia haitaki viongozi mafala
China, Japan na USA na wengineo wangeongozwa na wajinga tusingewajua
 
Wewe sindio uliwaona vijana wapuuzi kuamua kuukataa huo ujinga. 🤔
Tuacheni unafiki tuwe wamoja hakika nchi yetu itapiga hatua
 
Hapana sipingani nao naona namna gani wanatumikishwa ili yeye na watoto wake warudi kula matunda ya kazi ya GZ

Thread 'Watanzania tuna la kujifunza kutokana na matatizo tuliyopata, somo la kwanza ni kulaaniwa na Sheria kwa kuidharau na kujichukulia maamuzi wenyewe' Watanzania tuna la kujifunza kutokana na matatizo tuliyopata, somo la kwanza ni kulaaniwa na Sheria kwa kuidharau na kujichukulia maamuzi wenyewe
 
Mkuu wewe mwelewa sana
Yule jamaa ni kiazi kwasababu kwa dunia ya sasa ilipofikia haitaki viongozi mafala
China, Japan na USA na wengineo wangeongozwa na wajinga tusingewajua
Umeisema vizuri sana.... na narudia, China na Japan especially wangekua wanaongozwa na wajinga tusingewajua.

Lakini huku ujinga ndo kigezo cha uongozi
 
Hapo ndipo tatizo lilipo
 
Soma katiba ubunge sio chama cha wanasheria ndu ni chombo cha kutunga sheria tu na kinachohitajika ni wananchi wako wakupende wakutume bungeni basi
Sio kweriiiii ukipeleka mbunge kilaza wa kugonga meza muda woteeeeeee

Mbunge ambae hajawai kufanya tafiti yeyote na elimu tia maji tia majii usitegemee something new maendeleo hayaji kama 🍽️ plate ya makande mezani.

Wanakigoma nimewa DHARAU sanaa
 
Achana na hiyo kumbafu isiyo na akili... maamuzi yote muhimu ya nchi, sera, mikataba na vingine vingi vinasimamiwa na wizara mbalimbali, mawaziri wa wizara wanatoka bungeni, sheria na check and balance ya serikali inafanyika bungeni.

Halafu unaenda weka wagonga meza kwenye moyo wa taifa. Nonsense
 
Back
Top Bottom