Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Mgombea Ubunge wa Kigoma Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Clayton Revocatus Chipando maarufu Baba Levo, amefanyiwa maombi maalum na wachungaji zaidi ya 100 mkoani Kigoma.
Duh!, mwaka huu ZZK anakwenda kuaibikaMgombea Ubunge wa Kigoma Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Clayton Revocatus Chipando maarufu Baba Levo, amefanyiwa maombi maalum na wachungaji zaidi ya 100 mkoani Kigoma.