stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,883
- 4,484
Habarini???
Nimeshuhudia matukio matatu ya aina hii ya baba wa familia kutoka kimapenzi na bintiye, wa kwanza ni mwanaume aliembikiri mwanae wa darasa la 6 wa kumzaa mwenyewe baada ya kuachana na mkewe
Wa pili ni baba anaetembea na bintie wakati mkewe wa ndoa yupo na anaishi na wote wawili nyumba moja
Na wa mwisho ni mwanaume anaetembea na mtoto wa kufikia namaanisha mtoto mkubwa wa mkewe
Sasa napenda kufahamishwa nini hasa chanzo cha haya mambo?? Na je nini hatma yake? Tujadili hili
dunia imefikia ukingoni nilishuhudia siku moja msasani beach club binti na baba wamekaa meza moja na binti kavaa bikini halafu baba akipigiwa simu binti anaona wivu anahoji !binti alikuwa under 20 it was quite a scene

Kula mtoto wako? Siwezi kuelewa hii.
Ifahamike pia kuwa sio kila jambo linatokana na vitendo vya ushirikina, ila kwa sasa kuna momonyoko mkubwa wa maadili ya Kijamii. Nchi yetu inapitia kwenye kipindi kigumu, kwani kuanzia Ikulu hadi kwa mwananci wa kawaida kule Kishumundu wamepotoka kimaadili. Tuisaidie nchi yetu kwa kururudisha mila na desturi za awali.
Habarini???
Nimeshuhudia matukio matatu ya aina hii ya baba wa familia kutoka kimapenzi na bintiye, wa kwanza ni mwanaume aliembikiri mwanae wa darasa la 6 wa kumzaa mwenyewe baada ya kuachana na mkewe
Wa pili ni baba anaetembea na bintie wakati mkewe wa ndoa yupo na anaishi na wote wawili nyumba moja
Na wa mwisho ni mwanaume anaetembea na mtoto wa kufikia namaanisha mtoto mkubwa wa mkewe
Sasa napenda kufahamishwa nini hasa chanzo cha haya mambo?? Na je nini hatma yake? Tujadili hili
Sio nchi yetu tu sema dunia yetu. Hakuna nchi ambayo huniacha hoi kama Zimbabwe. Kuna kisa kimoja sitakisahau kamwe.
Baba mmoja alizaa na kulea mtoto wake wa kike hadi akipofikia kubalehe, akamtongoza na kuanza kutembea naye. Kisha akampa mimba bintiye huyo. Mimba ikakua baadaye akajifungua salama mtoto mzuri wa kike. Wakamlea akakua akafikia kubalee. Amini msiamini baba yule yule akamtogoza mtoto aliyezaa na bintiye naye akaanza kutembea naye! Umeipata hiyo?
kuhiji simu ya mwanae si wivu sidhani kama busara binti yako kumwacha aongee tu na watu hasa kwa umri wa under 20. Hata mama kwa mtoto wake wa under 20 atamuuliza ni nani anakupigia simu.dunia imefikia ukingoni nilishuhudia siku moja msasani beach club binti na baba wamekaa meza moja na binti kavaa bikini halafu baba akipigiwa simu binti anaona wivu anahoji !binti alikuwa under 20 it was quite a scene
Kuna baadhi inakuwa ni ushirikina....... Utakuta baba anaenda kwa mganga kwa lengo la kupata mali halafu anapewa masharti na mganga huyo kuwa atembee na mwanae/dada yake/ mama yake wa kumzaa. Hata mtoto anakuwa hajitambui kwasababu anachanganywa na madawa