Bora sasa wawe wazazi.Naomba wajuzi mje mniongezee hekima hapa kidogo uwenda yangu imepunguka..
Katika jamii zetu kuna vijana ambao wanafanikiwa kujipatia kipato na kuanza maisha...
Bora ingekua huyo mlezi au mzazi ana shida kweli ya kiuchumi, hakuna cha shida ni tamaa tu anataka ya bia na huku na yeye mshahara anao.Ukiona mzazi anakukosea, usisite kumuambia.
Dhana ya 'mkubwa hakosei' ni upotoshaji.
Baba aliyekutelekeza akirudi, mtunze tu hakuna shida.
usinunue Meza ndani kwako ety unatunza hela ya kumfurahisha mzazi au mlezi kwanzaBora sasa wawe wazazi .
Shida inakuja kwa hawa walezi wamekulea na mwisho wanatamani kukutawala kwa jina la tusingekuwa sisi asingekuwa hivi .
Kijana amka hakuna cha laana wala bibi yake laana simamia misimamo ya maisha yako maana kesho yako unayo wewe sio wazazi wala walezi
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Bora sasa wawe wazazi .

Pole sana walezi wanaboa na ni bora wakawa upande wa baba ila sio hao wa ujombani .Yaani umenilenga hayo maneno haipiti wiki au mwezi lazima nitamkiwe
Unafikiri bila sisi ungekuwa hapo ulipo neno "Bila sisi" yaan wanajikuta Kama vile wao ndiyo Mungu
Asante Mkuu, Hawa wazazi, walezi na ndugu ni changamoto sana.Pole sana walezi wanaboa na ni bora wakawa upande wa baba ila sio hao wa ujombani .
Wengine labda alikununulia kakiatu wakati unaanza darasa la pili ila anakumbushia mpaka leo una watoto pia .
Aisee saidia mlezi pale mambo yako yakiwa sawa nayo iwe kwa kupenda isiwe shuruti maana hata wasingekusaidia daima Mungu akuwahi kumuacha mja wake wao wajue iliandikwa iwe hivyo upite kwao kama daraja ila sio kuwa wao ndiyo wenye hatima yako .
Pole sana , walezi wanasababisha mpaka watu wanawakumbuka wazazi wao waliotangulia kisa hizi porojo za BILA SISI .
Wameenda mbali wanahitaji wajue mpaka mshahara wako ni kiasi gani mpaka muda mwingine wanakupigia kukuuliza mshahara bado ?
Aisee dada au kaka amka kesho yako ni sasa rafiki yangu hao ndugu zako au walezi au wazazi wako na wewe kwasasa kwenye vijihela unavyopata ila ukizikosa hakuna wakukupa mtaji wala kukuambia kuwa tulikufelisha sisi ila wataanza dharau mshenzi .
Amka kijana wakati ni sasa .
Asante
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
ukianguka sehemu ni lawama mwanzo mwisho na matusi juu, lakini ukiinuka kidogo wanalalamika huwajali na huwapendiPole sana walezi wanaboa na ni bora wakawa upande wa baba ila sio hao wa ujombani .
Wengine labda alikununulia kakiatu wakati unaanza darasa la pili ila anakumbushia mpaka leo una watoto pia .
Aisee saidia mlezi pale mambo yako yakiwa sawa nayo iwe kwa kupenda isiwe shuruti maana hata wasingekusaidia daima Mungu akuwahi kumuacha mja wake wao wajue iliandikwa iwe hivyo upite kwao kama daraja ila sio kuwa wao ndiyo wenye hatima yako .
Pole sana , walezi wanasababisha mpaka watu wanawakumbuka wazazi wao waliotangulia kisa hizi porojo za BILA SISI .
Wameenda mbali wanahitaji wajue mpaka mshahara wako ni kiasi gani mpaka muda mwingine wanakupigia kukuuliza mshahara bado ?
Aisee dada au kaka amka kesho yako ni sasa rafiki yangu hao ndugu zako au walezi au wazazi wako na wewe kwasasa kwenye vijihela unavyopata ila ukizikosa hakuna wakukupa mtaji wala kukuambia kuwa tulikufelisha sisi ila wataanza dharau mshenzi .
Amka kijana wakati ni sasa .
Asante
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Kuna mzee mmoja anapambania sana hii kwa wanae aliowatelekeza miaka 20 iliyopita, na analazimisha kibabe lakini wanasema cha kurithi ni mara 3 zaidi, watoto wake hawasikii chochote wala lolote.Utashangaa baba aliyetelekeza mke na mtoto anataka apendwe na mtoto hivi inawezekana vip ??
sureNiterekezwe na mzazi alafu aniombe msaada...hakuna Cha msaada hata punje.
Ni wajibu wa mzazi kulea mtoto na sio lazima Kwa mtoto kumsaidia mzazi ,ni busara tu na sio lazima.
Ukitoka kwenye familia ya kimasikini ukaendeleza kutoa Kwa kuogopa lawama na wewe utakuwa maskini na siku ukiishiwa pia watakusema na kukucheka.