Baba kanikataa kisa alitaka nisome Clinical, mimi nimeamua kusoma Computer Engineering

mkuu nakubali nilidanganya umri back katika hiyo post kwa maslahi yangu,alafu chochote utakachoona kinakutatiza refer na maelezo yangu hapo juu utanielewa who i was,alafu unavoniambia nikajipange tena unamaanisha nini Mr.perfect?

Wewe dogo ni mjuaji, unaomba ushauri huku unawabatiza majina watu? eti Mr. Perfect
 
Pole........

Ila wazee wa kiafrika kwa kupangia watoto kazi na watoto wwngine kwa ujeuri...

Kuteleza si kuanguka jipange uanze upya
Pamoja na hayo yote ni vyema akajua kuwa bangi na sigara zilikuwa zinachangia kuharibu mambo yake pia! Pengine pia kufeli kwake chuo kulichangiwa na bangi na sigara!

Kwa hiyo cha kwanza anacho takiwa kuacha ni Bangi,sigara na ulevi ulio pindukia ndio aweze kufikiri vyema kuhusu maisha yake!
 
attachment.php
We mleta thread acha kujikweza wew ni good life halafu unakuja kutuzunga hapa kuna weng hapa kuish nyumba nzuri kama hyo ni ndoto kwao! vijana wa dar hamtaki kujituma hata mkibebwa hambebeki! coockie monster hapo yupo kwao!

mkuu naomba uitoe hiyo picha,alafu nani kakwambia mm kwetu laifu gumu mbona kila kitu nimeeleza hapo juu,nineeleza mistakes zangu na kujutia lakini sikueleza kama naishi maisha magumu..plzz itoe
 
Last edited by a moderator:
Pamoja na hayo yote ni vyema akajua kuwa bangi na sigara zilikuwa zinachangia kuharibu mambo yake pia! Pengine pia kufeli kwake chuo kulichangiwa na bangi na sigara!

Kwa hiyo cha kwanza anacho takiwa kuacha ni Bangi,sigara na ulevi ulio pindukia ndio aweze kufikiri vyema kuhusu maisha yake!

mkuu uwe unasoma basi,nimeshaacha
 
attachment.php
We mleta thread acha kujikweza wew ni good life halafu unakuja kutuzunga hapa kuna weng hapa kuish nyumba nzuri kama hyo ni ndoto kwao! vijana wa dar hamtaki kujituma hata mkibebwa hambebeki! coockie monster hapo yupo kwao!

dah umenisikitisha sana,ndo maana heading nikaandika I messed up my life,mm ndo nimeharibu maisha yangu mwenyewe sijasema nimeishi maisha magumu..
 
Last edited by a moderator:
Kwenye uzi ule https://www.jamiiforums.com/love-co...-a-partner-in-crime-be-mine.html#post12927286 ulisema ....

Ukikosa consistence kwenye maelezo yako, inapunguza uaminifu kwa yale yote unayoyaeleza....! Siamini hata kidogo umri wa binadamu kupungua kwa namna yoyote ile yaani jana ulikuwa na miaka kumi leo unamiaka sita!!. Pia ile picha uliyoweka kule inazalisha maswali mengi kuliko majibu. Kajipange tena.

Ndiyo inawezekana Mkuu, jamaa he is growing down!! Aaah JF kwa kufuatilia hamjambo, yaani ukijichanganya kidogo tu jamaa wanakudaka!!
 
Sio kila ndoto lazima itimie, hii sio karma Pasco?

Bora zisitimie lakini umejaribu kwa hali yao yote kuliko isitimie kisa umehofia kujaribu. Huo unaitwa ujinga first class.
Kijana anajaribu na kaendelea kujaribu na unri unamruhusu atafanikiwa. Hakuna kukata tamaa
 
Sio kila ndoto lazima itimie, hii sio karma Pasco?

Bora zisitimie lakini umejaribu kwa hali yako yote kuliko isitimie kisa umehofia kujaribu. Huo unaitwa ujinga first class.
Kijana anajaribu na kaendelea kujaribu na unri unamruhusu atafanikiwa. Hakuna kukata tamaa
 
Bora zisitimie lakini umejaribu kwa hali yako yote kuliko isitimie kisa umehofia kujaribu. Huo unaitwa ujinga first class.
Kijana anajaribu na kaendelea kujaribu na unri unamruhusu atafanikiwa. Hakuna kukata tamaa

endelea kumshauri dada
 
i have been through hell myself Young man.. so i know exactly how you feel. kukimbia home ndio matatizo yataongezeka kama huna pa kwenda. just chill, ila nataka nikupe moyo tu kwamba TIME HEALS EVERYTHING hayo matatizo yako yape muda kidogo tu, Mungu atafungua njia.

U said it well, time heals almost everything just stay there and wait. Pia kuwa mtu mwema nenda kanisani au msikitini na umche Mungu. Siamini katika laana kwa hiyo hata mtu aniambie nini mimi sitaamini hiyo laana hata siku moja kwa kuwa nimeona mtu alimpa laana mwanae ambaye ndie aliyefanikiwa peke yake baada ya laana na ndio alisomesha ukoo wao wote sasa hapo laana iko wapi
 
Back
Top Bottom