Baba kama huyu anafaa kufanywa nini ?

Sijaona hapo tatizo, hayo ni maisha mtu anakuwa ameamua. Hatuwezi kuwa sawa wote!!
 
Sasa aka kamchepuko mbona akajajificha vizur..miguu iko mlangoni kenyewe kapo uvunguni..
 
Angalia picha vizuri ana watoto kumi tayari

ahahahhahahahahahahahahaha mkuu, na huyo aliyeko kwenye blanketi anafanya nini sasa!????? ahahahaha we jamaa umenifurahisha sana!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…