Baba huko CAS hilo shauri linasemaje?

Baba huko CAS hilo shauri linasemaje?

Mike Moe

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2019
Posts
421
Reaction score
484
•Tumemshtaki KARIA?
•Tumeishtaki TFF?
•Tumeishtaki Bodi ya ligi?
•Tumeishtaki Simba SC?

Naona uchambuzi wa tetesi ni mwingi kuliko uhalisia, hatusikii shauri linavyosema na uainisho wa vifungu vya kanuni/sheria Vilivyovunjwa.

Soma Pia: Yanga Yafungua malalamiko CAS dhidi ya bodi ya ligi

Uzuri wa kupeleka kesi CAS kwanza unatakuwa ulipie sh 120M na kesi inaweza kuchukua Hata miezi mitatu ndio ianzekusikilizwa na ikibainika umewapotezea muda utalipia faini ya sh 350M.
 
•Tumemshtaki KARIA?
•Tumeishtaki TFF?
•Tumeishtaki Bodi ya ligi?
•Tumeishtaki Simba SC?

Naona uchambuzi wa tetesi ni mwingi kuliko uhalisia, hatusikii shauri linavyosema na uainisho wa vifungu vya kanuni/sheria Vilivyovunjwa

Uzuri wa kupeleka kesi CAS kwanza unatakuwa ulipie sh 120M na kesi inaweza kuchukua Hata miezi mitatu ndio ianzekusikilizwa na ikibainika umewapotezea muda utalipia faini ya sh 350M.
Miezi 3??????
 
•Tumemshtaki KARIA?
•Tumeishtaki TFF?
•Tumeishtaki Bodi ya ligi?
•Tumeishtaki Simba SC?

Naona uchambuzi wa tetesi ni mwingi kuliko uhalisia, hatusikii shauri linavyosema na uainisho wa vifungu vya kanuni/sheria Vilivyovunjwa.

Soma Pia: Yanga Yafungua malalamiko CAS dhidi ya bodi ya ligi

Uzuri wa kupeleka kesi CAS kwanza unatakuwa ulipie sh 120M na kesi inaweza kuchukua Hata miezi mitatu ndio ianzekusikilizwa na ikibainika umewapotezea muda utalipia faini ya sh 350M.
Nitashangaa sana kama uongozi wa Yanga utaamua kupoteza M100+ kwenda CAS. Hili suala linaweza kumalizwa ndani ya jioni moja tu wakati watu wanakula futari.
 
Mechi kuchezwa hilo halina ubishi. Mechi lazima ichezwe. Naongelea malalamiko ya timu zote mbili kuhusu suala hili yanaweza kutatuliwa na kumalizwa kindugu bila kufika huko CAS ambako hawajui jadi na utani wetu.
Jadi na utani wetu havigombi.
Kinachogomba wahuni na washamba kuvamia mpira wetu na kuanza kuuharibu kwa maslahi yao binafsi.
 
Thubutu yao!!! Wanawadanganya mashabiki wao tu kuwa wanaenda CAS ili kuwazuga na ujinga waliofanya.

Uzuri kule kila kitu huwa kinawekwa wazi. Wameshapata pakujichia wakikosa ubingwa waseme wamehujumiwa.

Kumbe ni wao viongozi wameleta ujanja ujanja.
 
Ni wazi wanawahadaa mashabiki na wanachama wao. Hakuna cha CAS wala shangazi yake CAS.
 
Jadi na utani wetu havigombi.
Kinachogomba wahuni na washamba kuvamia mpira wetu na kuanza kuuharibu kwa maslahi yao binafsi.
Sahihi kabisa. Kitendo cha kutuma wahuni waizuie timu nyingine kufanya mazoezi ni uhuni na ushamba unaotakiwa kukemewa na kila mpenda maendeleo ya soka.
 
Back
Top Bottom