Baba hataki nioe mama anataka nioe

Baba hataki nioe mama anataka nioe

Wewe binafsi unataka kipi? Mi nakushaur fuata moyo wako. Mzazi ambaye utakuwa tofaut nae utamuelewesha tu naiman atakuelewa.
Nashukuru kwa ushauri mkuu
 
Daaah msikilize mshua tu, ila jaribu kumshawishi abadilishe mawazo at least mwaka kesho uoe
 
Mshua anataka uoe lini maana inaonekana anahofia ukioa ndugu zako watakosa msaada hasa wa kuendelea kimasomo
 
Aiseeeee yan unahitaji ndoa,,,, hongera sna na kila na kheri!!!
 
Hapo wakumsikiliza ni Mama,Nafsi yako na huyo Mchumba
Fuatana nami, hivi sasa una miaka 29.Ikiwa utaamua kuoa mwakani utakuwa na miaka 30.Mungu akikujalia mapema utapata mtoto wa kwanza ukiwa no miaka 31.Atakapofikisha miaka 7 ataanza darasa la kwanza, wewe utakuwa na miaka 38.Atahitimu darasa La saba miaka saba baadaye wewe utakuwa na miaka 45.Atakapohitimu kidato cha sita utakuwa na miaka 52 hivi. Then atajiunga na chuo na kuhitimu hapo ni miaka 4 wewe utakuwa na 56(hiyo ni miaka ya kustaafu). Hapo ni mpaka itokee ameenda straight bila kukwama mahali (hajasoma vicourse vya equivalent).
Sasa let say utakuwa na watoto 3 waliopishana miaka mitatu(rejea matatizo ya uzazi enzi hizi mama anatakiwa apate muda mrefu kidogo kupishanisha) hivyo mtoto huyu wa mwisho atahitimu chuo ukiwa na 65.

Samahani mkuu hivi kwa sasa life expectancy kwa Tanzania ni ngapi vile?

(Mkuu niliye ku-qoute samahani nilikusudia kumquote mtoa mada. Hii nime edit)
 
Sawa ila nao niwashauri wetu
Basi wasikilize wao kama unawategemea 100% mbona unahangahika kuomba ushauri na wao wametofautiana kukupa ushauri...............jiishauri mwenyew na usimamie huo msimamo wako
 
Fuatana nami, hivi sasa una miaka 29.Ikiwa utaamua kuoa mwakani utakuwa na miaka 30.Mungu akikujalia mapema utapata mtoto wa kwanza ukiwa no miaka 31.Atakapofikisha miaka 7 ataanza darasa la kwanza, wewe utakuwa na miaka 38.Atahitimu darasa La saba miaka saba baadaye wewe utakuwa na miaka 45.Atakapohitimu kidato cha sita utakuwa na miaka 52 hivi. Then atajiunga na chuo na kuhitimu hapo ni miaka 4 wewe utakuwa na 56(hiyo ni miaka ya kustaafu). Hapo ni mpaka itokee ameenda straight bila kukwama mahali (hajasoma vicourse vya equivalent).
Sasa let say utakuwa na watoto 3 waliopishana miaka mitatu(rejea matatizo ya uzazi enzi hizi mama anatakiwa apate muda mrefu kidogo kupishanisha) hivyo mtoto huyu wa mwisho atahitimu chuo ukiwa na 65.

Samahani mkuu hivi kwa sasa life expectancy kwa Tanzania ni ngapi vile?

(Mkuu niliye ku-qoute samahani nilikusudia kumquote mtoa mada. Hii nime edit)
Nashukuru sana Mkuu kwa ufafanuzi mzurii
 
Back
Top Bottom