Mremaaa
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 293
- 325
Habari za mapumziko ya mwisho wa wiki wana Jf, ni matumaini yangu tu salama na tunaendelea na majukumu wengine na mapumziko ya mwisho wiki.
Ninakuja kwenu great thinkers mnisaidie kwa mawazo na ushauri juu ya mada jatwa "Baba hataki nioe, mama anataka nioe"
Natanguliza shukrani kwanza kwa msaada wa mawazo na ushauri toka kwenu.
Kama nilivyoeleza katika threed yangu ya kwanza humu iliyohusu "nimvumilie huyu mwanamke mpaka ndoa au nipige chini"
Nashukuru wengi walinipa mawazo na ushauri mzuri na hata sasa nimefikia maamuzi ila katika utekelezaji wake napata ugumu.
Tulipanga na mtarajiwa wangu yakuwa at least tujipange kuwasogeza wadogo zetu kielimu na mimi kujiendeleza hata nitakapo kuwa masomoni tufunge ndoa sasa uhitaji wa ndoa umekuwa wa haraka kwa mwenzangu sababu anategemea kumaliza chuo mwaka ujao( ingawa ni mwajiriwa ) ila baada ya kumaliza kuna kozi nyingine anatakiwa aende, ameleta hiyo demand na niliipokea na kama ilivyo desturi zetu za kiafrika lazima wazee wakubaliane nawe (wakupe baraka) ikiwa ni pamoja na utekelezaji wa mambo ya muhimu ili kupewa mke kihalali.
Baada ya kumweleza mama, kama ilivyokawaida ya akina mama alifurahi sana na aliniunga mkono akinisihi nifanye mapema, Kwa upande wa mzee mambo yalikuwa tofauti hakuliunga mkono akidai bado umri ( am in late 20's) nawahi wapi kiufupi hakunielewa kabisa na alikataa, pia akilikumbushia swala wadogo zangu ambao wapo masomoni bado (wazazi hawaishi pamoja).
Binti naye anawasiliana na ma mkwe wake mtarajiwa, yakuwa nimempotezea muda na aliachana na mipango ya mahusiano na wengine kwa zaidi ya mwaka sasa leo namwambia bado (she is 25) anadai anakimbizana na umri wa kuzaa.
Mim nina kazi ya kudumu serikalini na binti naye ana kazi ya kudumu serikalini.
Naombeni msaada wa kutegea hiki kitendawili great thinkers wenzangu!
"Naomba kuwasilisha"