lutambijuma
Member
- Mar 21, 2016
- 72
- 56
ahaah, wanawake ni mtihaniLoss report, kwamba birth certificate is lost.
Pata kingine.
Au ata hati ya kiapo kubadili majina.
Baba halali ni baba yeyote: iwe biological au wa kufikia.
Nina jirani yangu mkewe ana mtoto ila inside news ni kwamba baba halali alikuwaga anapiga simu kumjulia hali na kuleta zawadi kwa kificho.
Mtoto anafanana na mama, ni mweusi kama mume wa ndoa.
Siri sirini: ndiyo maana wanawake wengi hawapendi kitu DNA
Anayejua baba wa mtoto ni mama tu!
Wanawake heshima kwenu.
Akil kumkichwa
mtoto akuambiwa, maana baba yake ambae sio halali amekufa yeye akiwa na miaka miwili, mpk leo anajua baba Yake kasafiriHuko ni kuharibu saikolojia ya watoto tuu. Mtoto anajua baba ake alishakufa then leo unamwambia baba ako halali ni huyu. Kwanza ili iweje? Na itamsaidia nn huyo mtoto.
Cha msingi huyo jamaa kashajua ni mtoto wake basi inatosha, sioni haja ya kumwambia mtoto.
...Mkuu, kama mwanamke alikuwa muhangaikaji sana hata yeye mwenyewe wakati mwingine hajui Baba wa mtoto wake.....wewe kwa mwezi mmoja anapigwa na wanaume wanne tofauti, atajuaje yupi ni yupi???Loss report, kwamba birth certificate is lost.
Pata kingine.
Au ata hati ya kiapo kubadili majina.
Baba halali ni baba yeyote: iwe biological au wa kufikia.
Nina jirani yangu mkewe ana mtoto ila inside news ni kwamba baba halali alikuwaga anapiga simu kumjulia hali na kuleta zawadi kwa kificho.
Mtoto anafanana na mama, ni mweusi kama mume wa ndoa.
Siri sirini: ndiyo maana wanawake wengi hawapendi kitu DNA
Anayejua baba wa mtoto ni mama tu!
Wanawake heshima kwenu.
Akil kumkichwa
akuna mlolongo mrefukwa kupima DNA au, si nasikia ina mlolongo mrefu
...Umenena vyema Mkuu. Huyo mwanamke hajatulia hali kadhalika ndugu yako.Huko ni kuharibu saikolojia ya watoto tuu. Mtoto anajua baba ake alishakufa then leo unamwambia baba ako halali ni huyu. Kwanza ili iweje? Na itamsaidia nn huyo mtoto.
Cha msingi huyo jamaa kashajua ni mtoto wake basi inatosha, sioni haja ya kumwambia mtoto.
pana ukweli hapa pia,Marehemu alikufa kifo cha aina gani, awe muangalifu huyo Mwanamke ili ndugu wa marehemu wasije wakahusisha Koro cha ndugu yao na zoezi zima la ubini wa mtoto
Namaanisha wasije wakawa na hisia kwamba Mwanamke na Mzazi mwenzie wameshiriki kummaliza jamaa ili wafanye wanachokitaka