Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,233
- 138,746
Hapa duniani yapo maajabu mengi sana ila wagogo funga kaziView attachment 3631819
Ukistaajabu ya Musa, utayaona ya Klarensi Usakazi (86), mkazi wa Kitongoji cha Mbisi, Tarafa ya Chipanga, Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma, aliyeamua mtalaka wa mtoto wake ‘mkamwana’ aitwaye Mary (20) baada ya wazazi wake kudai kutokuwa na uwezo wa kurudisha mahari.
Hata hivyo, Mary anakuwa mke wa nane kwa Usakazi, wakiwamo wengine watatu wa familia moja ‘pacha’, ambao anadai kufurahishwa na tabia ya ukoo wao hadi kufikia uamuzi wa kuwaoa.
Usakazi mwenye ukwasi wa mifugo karibu kila eneo la Tarafa ya Chipanga alimuoa Mary Chaina (20) kupitia ndoa halali ya kimila iliyofanyika Januari 25, 2024, baada ya kuolewa na Fredrick ambaye ni mtoto wake.
“Ni kweli alikuwa mke wa mtoto wangu Fed (Fredrick), lakini waliishi mwaka mmoja na wakaanza kusumbuana. Mimi nikaona bora nimuoe ili kijana akatafute mke mwingine anayempenda na alifanya hivyo. Nikalipa mahari,” amesema.
Unaona kabisa jina limeandikwa mary wewe unawasemea waislam vichwa vingine banah..Waislamu ni watu wa ajabu sana, mtume Muddy pia aliyafanya haya,
Surah Al-Ahzab (33:37). Humo Allah anasema wazi kwamba Mtume Muhammad aliozeshwa Zaynab bint Jahsh baada ya talaka yake na Zayd ibn Harithah.
Muddy anadai kuwa "Na kumbuka ulipomwambia yule ambaye Allah amemfanyia wema na wewe pia ukamfanyia wema: ‘Shikilia mke wako na mche Allah,’ na huku ukificha ndani ya nafsi yako jambo ambalo Allah atakalifichua. Na ulikuwa unawaogopa watu, lakini Allah ndiye anayestahiki zaidi kuogopwa. Basi Zayd alipoacha haja yake kwake, tulikuoza kwake, ili wasiwe na tabu Waumini kwa wake wa watoto wao .”
Hivyo Quran pamoja na Muddy kwao ni rukusa kuoa mabinti wa vijana au watoto wao.
Unaona kabisa jina limeandikwa mary wewe unawasemea waislam vichwa vingine banah..Labda ni suna, mtume Muhammad alimuoa mtalaka wa mtoto wake pia.