Baba Askofu Gwajima kama huyu ni PONJORO, Je Pascally Mayalla utamwitaje Baba? Mbatize Ukubwani tutapokea Jina jipya!

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,937
Reaction score
10,815
Baba Askofu Bwana Yessu Apewe sifa zinazomstaili!
Tumsifu Yessu Kristo.

Baba Askofu kwanza ninakushukuru, kwa Afya Yako HEKIMA Yako na upako wako hakika U mwana wa Mungu.

BabaAskofu umembatiza Mbunge wa kinondoni Jina AMBALO linaakisi matendo yake kabla na baada ya kuwa mbunge sisi wananchi wake tunakushukuru sana Jina ponjoro litatusaidia uko mbele.

Baba Askofu tunaomba pia umbatize huyu mtu aliyejitanabaisha kuwa kada wa chama Cha mapinduzi,aliyejiunga kuwinda teuzi mwisho akaishia kufilisiwa na mfumo kwa sababu ya kuto jielewa

Baba Askofu Pascally Mayalla ni miongoni mwa watanzania wachache wanao jiita wanasheria najiuliza mwanasheria anafilisiwajw na mfumo?

Anajiita mwanahabari hasiye na uwezo wa kujinganga, ebu naomba umbatize Jina lake jipya.

Baba Askofu huyu Pascally kupitia jf amekutaka usilianmshe Dude na wewe umeisha liamsha Dude achutame yeye
 
🤣
 
ponjoro ameonyesha unafiki wa hali ya juu sana. kwa hiyo yeye ponjoro wapiga kura wake hata wakitekwa anaona poa tu.
 
Back
Top Bottom