Baba anatuchonganisha?

Baba anatuchonganisha?

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
61,202
Reaction score
99,941
Ni hatari sana kuwa na Baba mwenye ndimi mbili, akija kwa jirani akionana nae anasema hili, akitoka akienda kwa huyu anasema lile. Hana msimamo, sio mkweli, yeye kila siku ana kzai ya kusoma upepo unavyokwenda. Haamini anachokisema, anakazi ya kuwafurahisha watu, akiona mtanuna akija kazi yake ni kuwachekesha ili yaishe apite aendelee na yake. Ni lini baba ataacha kutuchonganisha?

Baba huyu huyu ndio alianzishaga mambo ya Udini, tena akatamka hadharani kuwa Tanzania kuna udini, mambo yalivyozidi akakana, watu wakaumizana weee, baba huyu huyu ndie aliesema Wana-jumuiya wenzake walikua hawataki Kitabu kipya cha maarifa, mambo ya sirini Baba akayatoa hadharani, hivi huku si kuchonganisha wana jumuiya? akasahau kuwa alishakaa na jirani wa kikundi fulani na akawwahidi kuwa uandishi wa kitabu ungesitishwa, Waaapi, alipotoka kakimbilia kwenda kuwaeleza kuwa "nimewaweza" nyie endeleeni tu.

Baba huyu huyu ndio anasema kura isipigwe hadi Daftari liboreshwe lakini ndani ya sentensi hio hio anasema anatakiwa kusaini ndani ndani ya siku 84, baba kachanganyikiwa hajui aende na la uandikishaji au aende na la kusaini. Maskini Baba, hivi hana washauri?

Naskia kaibuka mtoto mmoja leo, kaweka ngumu anasema lazima waototo wote wawekewe kwenye orodha kwanza, haya sasa tusubitri mapambazuko ya kesho, Baba atasemaje, je atamchapa huyu mtoto na kumfunga mdomo ili kura iwahi ndani ya siku 84 au atasoma upepo kwanza?

Baba Muombe MUNGU sana, una kipindi kigumu. MUNGU akutangulie
 
Hakuna jema toka kwa ------
 
Baba ameshindwa kuwa na busara,kabla ya kujitanabaisha kuwa anataka kuwa BABA alitakiwa kuomba BUSARA na HEKIMA ili aweze kuiongoza familia.

Alisahau kuomba,na sasa ni bora liende amalize ngwe yake ya kuwa baba yaishe.
 
Baba wanaoa tunalala njaa wakati mali tunazo za kutosha shambani kwanini wachukue majirani wakatengeneze vitu alafu waje kutuuzia sisi baba si watupe ujuzi hata sisi tuweze kujitegemea baba
 
Baba amesafiri kaenda kutafuta mnunuzi wa kununua ardhi aliyoacha bibi.Sielewi anataka tuende wapi.
 
Huyu baba gani anajiona mtoto?

Na kuunga mkono na miguu yote miwili,tuliambiwa Baba huyu bado hajakua hivyo si vizuri kupewa familia.Wazee wakapuuza wakapokea mlungula tukapewa Baba,leo watoto tunalia NJAA,afya inatokota,elimu imeshakufa baba yupo busy anatafuta wanunuaji wa raslimali za Familia.

Hebu ione hii aliyosema Baba kwenye moja ya mikutano yake:

"Unapoenda kuomba siyo kwamba wewe unapenda kuomba.Huko nje kuna mataifa yenye hela nyingi tu.Unachotakiwa kufanya ni kujieleza wakikuelewa watakupa"

Na baba mwingine alisema hivi:

"Kama kuna mtu ambaye anaamini nchi hii inaweza kuendelea kwa kusaidiwa anajidanganya.Narudia tena katika nchi hii kama kuna kiongozi anaamini nchi hii inaweza kuendelea kwa kupewa misaada anajidanganya"-Baba Ben Nkapa

Na maskini Marehemu baba huyu yeye alisema hivi :

"Siku moja akitokea kiongozi wa Taifa letu akatuambia huko nje kuna hela nyingi kuliko hapa nyumbani mwambieni wewe ni MPUMBAVU" Huyu ni Baba Mwalimu JK

Sasa mpaka hapa sijui baba yetu yupi alitueleza ukweli kati ya hawa watatu.
 
Baba gani huyo anaongea na watoto anakenuakenua kama mwehu afu cha kushangaza kale kadogo kake kale kakulialia kanataka kuchukua mji. Hivi wanatuonaje, atoke wa kukenuakenua aingie wa kulialia!!!!! Let us wait and see
 
Pigeni makofi tuimbe...
Baba baabaaaaaaa
Bababaaaaaaaaaaaaaa
Baba huyooooooo
Bababa babaaaa huyo baba baba huyo babaaaaa
Baba hilooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Ha ha ha ha......Jamani tufanyeje na ndio dingi yetu.......la msingi tumvumilie mpk tutakapokuwa adopted na baba mwingine 2015 Ila tuombe sana asije kutoka ukoo huo huo,ni noma.
 
Na kuunga mkono na miguu yote miwili,tuliambiwa Baba huyu bado hajakua hivyo si vizuri kupewa familia.Wazee wakapuuza wakapokea mlungula tukapewa Baba,leo watoto tunalia NJAA,afya inatokota,elimu imeshakufa baba yupo busy anatafuta wanunuaji wa raslimali za Familia.

Hebu ione hii aliyosema Baba kwenye moja ya mikutano yake:

"Unapoenda kuomba siyo kwamba wewe unapenda kuomba.Huko nje kuna mataifa yenye hela nyingi tu.Unachotakiwa kufanya ni kujieleza wakikuelewa watakupa"

Na baba mwingine alisema hivi:

"Kama kuna mtu ambaye anaamini nchi hii inaweza kuendelea kwa kusaidiwa anajidanganya.Narudia tena katika nchi hii kama kuna kiongozi anaamini nchi hii inaweza kuendelea kwa kupewa misaada anajidanganya"-Baba Ben Nkapa

Na maskini Marehemu baba huyu yeye alisema hivi :

"Siku moja akitokea kiongozi wa Taifa letu akatuambia huko nje kuna hela nyingi kuliko hapa nyumbani mwambieni wewe ni MPUMBAVU" Huyu ni Baba Mwalimu JK

Sasa mpaka hapa sijui baba yetu yupi alitueleza ukweli kati ya hawa watatu.

Cc: ManDla Jr lusungo Chabruma Hot Lady Simiyu Yetu na "muwakilishi wa Vijana "
 
Last edited by a moderator:
Baba ambaye ukoo wake umeshindwa kumwelewa maana kila wakati amekuwa akiwaambia wanandugu muwe na akili za Mbayuwayu yaani za kuambiwa changanya na zako. Baba ambaye hajui kukemea watoto wake katika ukoo.
 
Back
Top Bottom