Ni kweli kabisa maana kile kipindi chake tuu alikuwa ni mkali sana hasa akisikia mtu anajieta lodi au lodi rajipa basi hapo ataipata na kujuta kuzaliwa kwake lakini siyo leo kila kiongozi ni bileonea haya sasa kuna nini tena hapo si tulei tu na kushukuru mungu tuu ndo kilichobaki na wala hakuna wala matarajio ya maisha safi ni kiiza tuu