Baba amuingilia bintiye kinyume cha maumbile

Status
Not open for further replies.
Waswahili wanasema mti wenye matunda mengi hauishi kupigwa mawe.

Na mimi Mods manati zao wameelekeza South Centra kwa kahtaan.

Hapa mpaka JF ifungwe.
Hakimbii mtu.

umbumbumbu wako tu, yupo mutant gene na faby wana matusi kweli
 
Last edited by a moderator:
Hata bara hii ipo sana tu....tendo ovu linakemewa kwa yyt akiwa mzanzibari au mtanzania bara akiwa muislamu au mkristo haya matendo si ya kufumbia macho kabisaa kwa yeyote yule

Lipo Tanga, Pwani, Lindi, Mtwara & Dar
 
Ama kweli JF credibility inapungua siku hadi siku kutokana na mamluki waliojiita nao eti great thinkers!!!Shame on us kwa kweli.Kitendo kilichofanywa kwa mtoto ni ukatili mkubwa tunaopaswa kukemewa iwe amefanya shehe, paroko,mchungaji, mganga wakienyeji au hata mzazi...This is wrong period.Ndo swala la msingi hapa,ni bora tujiulize kwanini matokeo haya yanazidi? na pia tukemee tabia hii chafu mana wafanyayo haya ni ndugu zetu, jiranai au marafiki zetu nk nk .JF inakuaje ??? Au kuna watu wanalipwa kuvuruga mambo humu?
 

Wewe mwenye high level of thinking ndo umeandika nini mpgani wewe
 

biti kankome;
Hii ndo hekima tunaitafuta siku nyingi humu JF. Siyo kutoka ndani ya hoja na kuleta ujinga mwingine wa kutaka kujihami kwa kutukana imani zingine. Hata kama wametenda watu wawili wa dini tofauti, sisi hatupo kujadili dini hapa. Ni dini iliyomvua nguo huyo binti au ni mwenhu huyo babake?? Tukemee ujinga huo. Kama hilo jambo lilikemewa na Mh. Rais siku ya Idd ina maana vitendo hivyo vimekithiri na havitaondoshwa kwa kuzibeza dini zingine. Tuyakemee mambo haoyo wazi wazi bila kujali rangi wala nasaba ya mtu.
Nasema huyo baba ni muuaji na tena hastahili hata kupewa nafasi ya kusema chochote, ushahidi wa mtendwa tuu unatosha kama kamsingizia wakaonane kwa Mola wao. Huyo wa mbuzi, yao ni tofauti, yanahitaji ushahidi zaidi, na kama ukipatikana ushahidi, walotendwa kwa kisingizio cha kupewa mbuzi, tayari weshatimiza kibarua, wapewe mbuzi zao na mlawiti aende chuo cha mafunzo huko akafunzwe hiyo kazi huko huko maisha yake yoote. Mnasema mtoto wa miaka mingapi vile?? Sijui sasa kama tutaishi miaka 2zaidi ya siku hii ya leo, BP zitatuua pale mtoto akichelewa tu shuleni, dah!
 
Mbeya pia, mpaka baba mtu amemzalisha bintiye na kesi ipo mahamani!! Je Wanyakyusa wana tabia mbaya sana??

Usisahau na yule wa mkoa wa Mara alimkatiza mtoto masomo akampa mimba na ukimwi juu binti yake mwenyewe wa kumzaa.
 
Wamemaliza mfungo hawa sasa twende kazi ni kurarua watoto marinda
 
Jamani mbona mtume PAULINA alikua anapigwa pipe
 
Nasikia vitendo vya kulawiti mabinti huko Zanzibar ni vya kawaida,eti wanatunza bikira iwepo siku ya ndoa.
 
Hii imekaa vibaya. Mke umefukuza unasarandia watoto. Ngoja wakakutie adabu Wanaume wenzio.

Huyo dogo naye akafie mbali mlaaniwa mkubwa.

Hiyo mikia inayowasunbua ni heri wawafanye kama wale beberu. Siyo riziki laana kuu nyie.
 
Tendo la kuufanyiwa hao watoto kufanyiwa unyama hamlioni nyie mmeshikilia tu zanzibar hivi zanzibar vile what if mambo kama hayo yangetokea dar mkoa mengine ingekuaje...

Acheni ujinga
 
Hata bara hii ipo sana tu....tendo ovu linakemewa kwa yyt akiwa mzanzibari au mtanzania bara akiwa muislamu au mkristo haya matendo si ya kufumbia macho kabisaa kwa yeyote yule

Jaan kila mtu ana dhambi zake awe ana zifanya mchana au gizani (usiku) ila hawa wanapenda kujifanya wasafi sana kumbe ndo laanatullAllah zimewajaa.......achana nao wana kitu hate kimekaa kwa nafsi zao lets them die na donge la roho

Topic dhumuni ni unyanyasi wa kijinsi watu wamekimbilia ku discuss pumba......
 
Laana hizi.... Jamani Mpokeeni Yesu awadilishe
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…