Jaman sasa naamn kuwa uyaone. Kumbe ni kweli kwamba "ya Mungu mengi ya kuku mayai ya watu maneno" huyu baba amelogwa na aliyemloga ameshafarik zaman kwa hyo huyo ni milele kwa tabia hyo. Nashdwa kutoa adhabu mana, akifungwa mvua 30, akirud mtoto ni mkubwa kwa miaka kama hyo, je ataitwa baba? Akifungwa maisha mana yake atakayezaliwa hatakuwa na baba na hatamfahamu. Hapo mwalionaje hlo wana Jf. Lakin mind u anastahl adhabu!!🙄