baloteli15
Member
- Jan 1, 2014
- 38
- 8
Aisee!! Huyo baba analaana!
Tena mja wa laana mparamia vitana.....
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
sista leo unazamu?
Kuliko kuanzissha mada za uongo..bora usome za wengine tu
Unakuta mtu anachora watu tu bila sababu za maaingi...kweli inakera sana kutuletea maada za uongo. Watu wanaumiza vchwa kwa mambo ya uongo
kweli inakera sana kutuletea maada za uongo. Watu wanaumiza vchwa kwa mambo ya uongo
Inawezekana zamu zenu ziligongana leosista leo unazamu?
kumbe anageresha!?
ninampenzi wangu ambae nimedumu nae kwa takriban miaka miwili sasa na tumesha panga mikakati yetu ya kuoana lakini jambo la ajabu baba yake anamtaka kimapenzi na jambo la ajabu anampa mpaka vitisho na kumtumia mesege za ajabu za kimapenzi na kila meseji anayomtumia ananifowadia namim nazisoma mpaka hapa jaman nimeshindwa la kufanya na anamwambia kuwa mpenzi ulie nae nitafanya juu china kumfanya jambo lolote baya ili yeye awe nae @ wana great thinkers naomba msaada wenu je niachane nae huyo mpenzi maana nina wakati mgumu sana kimawazo na kiukweli mimi na yeye tumetokea kupendana sana
Kuliko kuanzissha mada za uongo..bora usome za wengine tu
Kuliko kuanzissha mada za uongo..bora usome za wengine tu
Baloteli, siku nyingine ukiandika weka koma na full stops ili ueleweke vizuri. Utasema uhusoma somo la mwandiko ukiwa darasa la pili?!Ninampenzi wangu ambae nimedumu nae kwa takribani miaka miwili sasa na tumesha panga mikakati yetu ya kuoana lakini jambo la ajabu baba yake anamtaka kimapenzi na jambo la ajabu anampa mpaka vitisho na kumtumia mesegi za ajabu za kimapenzi na kila meseji anayomtumia ananifowadia namimi nazisoma mpaka hapa jamani nimeshindwa la kufanya na anamwambia kuwa mpenzi ulie nae nitafanya juu china kumfanya jambo lolote baya ili yeye awe nae wana great thinkers naomba msaada wenu je niachane nae huyo mpenzi maana nina wakati mgumu sana kimawazo na kiukweli mimi na yeye tumetokea kupendana sana.