Baba ambaka mwanaye wa mwezi mmoja

LENGISHO

Senior Member
Joined
Sep 15, 2017
Posts
169
Reaction score
265
Baba mmoja Raia wa nchi ya Nigeria aliyejulikana kwa jina la Nnamdi (35), amefikishwa mahakamani kwa kosa la kumbaka mwanaye wa kike mwenye mwezi mmoja.


Taarifa hizo zimetolewa na mamlaka ya haki za binadamu ya nchi hiyo, baada ya kupost taarifa ambayo ilikua gumzo kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook ikisema,

"Hii imetokea maeneo ya Abia State, baada ya baba kumfanyia kitendo cha kumbaka mwanaye wa mwezi mmoja, mama wa mtoto huyo alimchukua na kumpeleka hospitali kuchunguzwa na imethibitishwa na Daktari kwamba mtoto huyo ameshambuliwa kwa ngono".

Mamlaka ya haki za binadamu iliendelea kuandika kuwa, baada ya tukio hilo daktari alimuita Baba mzazi wa mtoto huyo na alikiri kufanya kitendo hicho na kuomba msamaha, baada ya hapo alikamatwa na kufikishwa kwa kamishna wa polisi wa kituo cha Umuahia

 
aisee, ningemchangia buku2 angeenda kimboka pale angepiga hat trick moja matata sana, ukitoka mwepesiii
aya sasa kanyie ndoo
 
Nimechoka mwili na roho
 
Masharti ya mganga
 
Hatari sana
 
Msisitizo uwekwe kwenye swala la kipimo cha akili kabla ya ndoa
 
Apige Ramli kabla ya kwenda kwa Mganga!
 
Kama ni Nigeria itakuwa mambo ya ushirikina ili apate mali
 
Wanawake muwe mnaangalia na wanaume wa kuzaa nao,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…