Asante sanaa mama yangu
Nakushukur sanaa hakika nimeiyona. [emoji24][emoji24] sinachakukulipa lkn mungu tu atakulipa nakuombea afya baraka namaisha marefu hakika ubarikiwe sanaa mama yangu asante sanaaa [emoji24][emoji24][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
True bro I respect your thoughtsHuu si wakati wa kuhuzunika tena ni Kama upo katikati ya kundi la simba unatakiwa kujiokoa. Usumizwe na manyanyaso unayoyapata wala kuwaza Kwanini baba amekukataa. Jitume kufanya kazi yeyote ile uweze kujipatia kipato hata kama ni kubeba zege au mizigo stendi. Usichague kazi utafanikiwa mpaka utashangaa. The rest is history
Yaani afrodenzi umeamua kunitapeli leo hii? Yaani unaungana kabisa na Chibudee ili mtuingize mkenge sisi? Haya bwana!Nimekaa hapa na familia yangu.
Nikaingia JF na kukutana na hii thread
Umenihuzunisha mno.
Kaza mwendo mkuu. Ipo siku utaona raha ya msisha. Kaa ukijua hauko peke yako nakutakia mwaka mwema kabisa wewe na mama yako. Mungu awatangulie.
Ps. Mimi ni mwanamke na Si Mr.
Ukipokea tu nijulishe mkuu.
Happy New Years.
Ndugu usizungumze jambo ambalo hulijui na jaribu kuwa na khofu ya mungu haileti maaana kutuma pc ya pesa alizo tuma humu kwasa babu kafanya kwa roho yake kwa wenzake huna sababu yakutapeliwa ila nazibitisha sister kanitumia laki moja na 31Yaani afrodenzi umeamua kunitapeli leo hii? Yaani unaungana kabisa na Chibudee ili mtuingize mkenge sisi? Haya bwana!
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Yaani afrodenzi umeamua kunitapeli leo hii? Yaani unaungana kabisa na Chibudee ili mtuingize mkenge sisi? Haya bwana!
Amini utakachopenda mkuu .Yaani afrodenzi umeamua kunitapeli leo hii? Yaani unaungana kabisa na Chibudee ili mtuingize mkenge sisi? Haya bwana!
MUNGU AKUBARIKI SANA KWA JAMBO ULILOFANYA KWA HUYO KIJANA... YEYE HUBARIKI KIZAZI CHA KWA KWANZA HADI CHA NNE... ILA MUNGU ANAUONA MOYO WANGU JINSI UNAVYOTAMANI AKUBARIKI HADI KIZAZI CHA NANE... NAFARIJIKA KUONA WATU KAMA WEWE BADO WAPO KWENYE DUNIA HII ISIYO NA HAKI... HAKIKA MUNGU ATEMBEE NAWE MILELE IKIBIDI AKUANDALIE MAKAZI YAKO NA YA KIZAZI CHAKO HUKO MBINGUNI.Nimekaa hapa na familia yangu.
Nikaingia JF na kukutana na hii thread
Umenihuzunisha mno.
Kaza mwendo mkuu. Ipo siku utaona raha ya msisha. Kaa ukijua hauko peke yako nakutakia mwaka mwema kabisa wewe na mama yako. Mungu awatangulie.
Ps. Mimi ni mwanamke na Si Mr.
Ukipokea tu nijulishe mkuu.
Happy New Years.
Hakuna jambo linalodumu milele...NDUGU zangu Leo imekuwa siku ya hudhun kwangu wakati wenzangu wakifurahi na Kusherekea wakiusubir ujio wa Mwaka mpya lkn kwangu imekuwa tofauti kwan nimekuwa mtu wamajozi kila wakati Nikijana mwenye 20 yrs old mkazi wa arusha ila sasa niko dar es salaam kutafuta ridhki Nimelelewa na baby na bb yangu baada ya ma'ma yangu kuzaa na mwanaume ambae ni baba yangu alie nikataaa toka tumboni mwa mama yangu had umri hu nilio nao sijawah ona hata tabasam. La baba yangu families yaupande wa babu yangu imenilea mpaka nafika secondary lkn kwa bahati mbaya babu wangu ifariki nakukosa wakunisomesh nimezunguka sanaa kumtafuta babaangu lkn amekuwa akinihadaa nakuniona kam sio mwanae mama yangu kwa sasa anaishi na HIV kwaiyo mm ndie baba na mama ktk families yangu naukitizama elimu sina ajira ningum nimebaki kutanga tanga tu kwabahati nilipata mtu alie nisaidia na kukubali kuishi na mm lkn kawa mtu wakunisimanga hata bila kosa nakufikia maali yakunitishia kunifukuza kwake nawaza je nitaenda wap nitayaendeshaje maisha yangu?? Naumri wangu huu bila elimu nauliza snaa nakutafakari nilipi kosa langu kwa baba yangu
BrilliantNimekaa hapa na familia yangu.
Nikaingia JF na kukutana na hii thread
Umenihuzunisha mno.
Kaza mwendo mkuu. Ipo siku utaona raha ya msisha. Kaa ukijua hauko peke yako nakutakia mwaka mwema kabisa wewe na mama yako. Mungu awatangulie.
Ps. Mimi ni mwanamke na Si Mr.
Ukipokea tu nijulishe mkuu.
Happy New Years.
Valontarily Chief....Hapa ndio mahala sahihi pakutoa sadaka na sio huko mwingine,jamaa anashida anahitaji sana msaada kwa watu kwenye uwezo plz mwenyenacho amjaalie huyu kijana,nadhani pesa sio muhimu sana kama vile angepata kazi labda ingemsaidia ktk maisha yake na nduguze
Nimekaa hapa na familia yangu.
Nikaingia JF na kukutana na hii thread
Umenihuzunisha mno.
Kaza mwendo mkuu. Ipo siku utaona raha ya msisha. Kaa ukijua hauko peke yako nakutakia mwaka mwema kabisa wewe na mama yako. Mungu awatangulie.
Ps. Mimi ni mwanamke na Si Mr.
Ukipokea tu nijulishe mkuu.
Happy New Years.
Pole sana jitahid kumnyenyekea wakat unangalia kaz zakujikisha kama kuuza duka, tumia muda huu kutafuta chochote chakujishikisha ata kama kubeba zege, yan haya ni Mapito tu utashindaNDUGU zangu Leo imekuwa siku ya hudhun kwangu wakati wenzangu wakifurahi na Kusherekea wakiusubir ujio wa Mwaka mpya lkn kwangu imekuwa tofauti kwan nimekuwa mtu wamajozi kila wakati Nikijana mwenye 20 yrs old mkazi wa arusha ila sasa niko dar es salaam kutafuta ridhki Nimelelewa na baby na bb yangu baada ya ma'ma yangu kuzaa na mwanaume ambae ni baba yangu alie nikataaa toka tumboni mwa mama yangu had umri hu nilio nao sijawah ona hata tabasam. La baba yangu families yaupande wa babu yangu imenilea mpaka nafika secondary lkn kwa bahati mbaya babu wangu ifariki nakukosa wakunisomesh nimezunguka sanaa kumtafuta babaangu lkn amekuwa akinihadaa nakuniona kam sio mwanae mama yangu kwa sasa anaishi na HIV kwaiyo mm ndie baba na mama ktk families yangu naukitizama elimu sina ajira ningum nimebaki kutanga tanga tu kwabahati nilipata mtu alie nisaidia na kukubali kuishi na mm lkn kawa mtu wakunisimanga hata bila kosa nakufikia maali yakunitishia kunifukuza kwake nawaza je nitaenda wap nitayaendeshaje maisha yangu?? Naumri wangu huu bila elimu nauliza snaa nakutafakari nilipi kosa langu kwa baba yangu
Hali uliyonayo inaitwa ukiwa pitia ukurasa wa facebook wa Mwakasege ameongelea Hilo na namna ya kuondokana naoNDUGU zangu Leo imekuwa siku ya hudhun kwangu wakati wenzangu wakifurahi na Kusherekea wakiusubir ujio wa Mwaka mpya lkn kwangu imekuwa tofauti kwan nimekuwa mtu wamajozi kila wakati Nikijana mwenye 20 yrs old mkazi wa arusha ila sasa niko dar es salaam kutafuta ridhki Nimelelewa na baby na bb yangu baada ya ma'ma yangu kuzaa na mwanaume ambae ni baba yangu alie nikataaa toka tumboni mwa mama yangu had umri hu nilio nao sijawah ona hata tabasam. La baba yangu families yaupande wa babu yangu imenilea mpaka nafika secondary lkn kwa bahati mbaya babu wangu ifariki nakukosa wakunisomesh nimezunguka sanaa kumtafuta babaangu lkn amekuwa akinihadaa nakuniona kam sio mwanae mama yangu kwa sasa anaishi na HIV kwaiyo mm ndie baba na mama ktk families yangu naukitizama elimu sina ajira ningum nimebaki kutanga tanga tu kwabahati nilipata mtu alie nisaidia na kukubali kuishi na mm lkn kawa mtu wakunisimanga hata bila kosa nakufikia maali yakunitishia kunifukuza kwake nawaza je nitaenda wap nitayaendeshaje maisha yangu?? Naumri wangu huu bila elimu nauliza snaa nakutafakari nilipi kosa langu kwa baba yangu