Nimekuwa mtu ninae msaidia kwakila hali sio kazi sio mauguzi lkn amekuwa nimtu asie nashukuran Huenda ningekuwa nakosea ningesema labda maudhi yangu kwake ndio sbb but nimt ambae nihulka yake nasiwakwanza mm huwa anaahidi kuishi Namtu vyema anapo ona uitaji wako haupo kwa wakati fulan anatumia fursa ya manyanyas ili uchoke na kuondokaPole sana. Ila simu uliyotumia kuingia humu ni mtaji tosha. Angalia mapungufu yako bila kujipendelea haiwezekan mtu akuchukie bila sababu labda umebweteka unachagua kazi za kufanya,ndio maana anakuchoka.
??Pole sana. Ila simu uliyotumia kuingia humu ni mtaji tosha. Angalia mapungufu yako bila kujipendelea haiwezekan mtu akuchukie bila sababu labda umebweteka unachagua kazi za kufanya,ndio maana anakuchoka.
Nimekuwa mtu ninae msaidia kwakila hali sio kazi sio mauguzi lkn amekuwa nimtu asie nashukuran Huenda ningekuwa nakosea ningesema labda maudhi yangu kwake ndio sbb but nimt ambae nihulka yake nasiwakwanza mm huwa anaahidi kuishi Namtu vyema anapo ona uitaji wako haupo kwa wakati fulan anatumia fursa ya manyanyas ili uchoke na kuondoka
Sina no za voda natumia tigo tu ndug 0712568893Mkuu nitumie number yako ya Voda nikutumie hata laki moja ya soda wewe na mama . Number na jina lako kamili unalotumia kwenye Voda .
Poleni Sana mkuu. Ipo siku utashinda haya matatizo ni mapito tu.
Na jina lako unalotumia na hiyo number ni nani ?Sina no za voda natumia tigo tu ndug 0712568893
[emoji120][emoji120][emoji120] I do Mr
Asante sanaa mama yanguNimekaa hapa na familia yangu.
Nikaingia JF na kukutana na hii thread
Umenihuzunisha mno.
Kaza mwendo mkuu. Ipo siku utaona raha ya msisha. Kaa ukijua hauko peke yako nakutakia mwaka mwema kabisa wewe na mama yako. Mungu awatangulie.
Ps. Mimi ni mwanamke na Si Mr.
Ukipokea tu nijulishe mkuu.
Happy New Years.