hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,346
- 26,827
“Historia haijafa; ni kivuli kinachotembea kando yetu.”
Katikati ya vilima vya Beka’a Valley nchini Lebanon yanasimama mabaki ya hekalu kubwa la kale linaloitwa Hekalu la Bacchus. Ingawa jina lake linaashiria mungu wa divai na starehe wa Kirumi , Bacchus (Dionysus) msingi wake unarudi karne nyingi kabla ya Warumi.
Kwa hakika, hekalu hili ni mwendelezo wa ibada ya Baal, mungu wa mvua, uzazi na nguvu, aliyewahi kuabudiwa na Wafinikia,(phonecian),Wababeli, Wamisri na hata Warumi.
Lakini jambo la kushangaza ni kwamba ibada ya Baal haijakoma.
Leo imevaa sura mpya kupitia
Matamasha na sherehe za kisasa,
Dini zilizorithi mizizi ya kale,
Na tamaduni zinazotukuza tamaa na anasa.
🏺 BAAL KATIKA MAANDIKO YA KALE
Biblia mara nyingi inaonya juu ya ibada ya Baal
Yeremia 7
9 Je! Mtaiba, na kuua, na kuzini, na kuapa kwa uongo, na kumfukizia Baali uvumba, na kuifuata miungu mingine ambayo hamkuijua;
10 kisha mtakuja na kusimama mbele zangu katika nyumba hii, iitwayo kwa jina langu, na kusema, Tumepona; ili mpate kufanya machukizo hayo yote?
Na tena
1 Wafalme 18
21 Naye Eliya akawakaribia watu wote, akanena, Mtasita-sita katikati ya mawazo mawili hata lini? Bwana akiwa ndiye Mungu, mfuateni; bali ikiwa Baali ni Mungu, haya! Mfuateni yeye. Wale watu hawakumjibu neno.
Kwa maneno haya, tunaona wazi mzozo wa kihistoria, Mungu wa Israeli dhidi ya sanamu za Baal.
Lakini ibada hiyo iliendelea kwa siri, ikibadilisha majina yake Bacchus, Dionysus, Ishtar, Hubal ,Baal zebubu,Moleki,dragon, n.k ,lakini msingi wake ukaendelea ule ule ,na hata Leo Baal anaabudiwa ila ana kawaida ya kujibadili majina tu
Hekalu la Bacchus ni mojawapo ya mahekalu makubwa zaidi yaliyohifadhiwa kutoka Dola la Roma
Urefu wa mita 66 na upana wa mita 35.
Nguzo 42 kubwa, kila moja ikiwa na urefu wa mita 19.
Mapambo yanayodhihirisha zabibu, fahali, na nyota alama za uzazi, pombe na ibada za siri.
Watafiti wengi wanakubaliana kwamba hekalu hili halikuwa la Bacchus pekee, bali lilikuwa mwendelezo wa ibada ya Baal-Hadad wa Kifoinike.
BAAL JINSI ANAVYOABUDIWA LEO
Ingawa hakuna anayesema wazi,au atakayekubali leo kuwa anamwabudu Baal, alama zake zimeenea duniani kote,
🎭 Tamasha za Kimataifa
Olimpiki Tokyo 2022 & Paris 2024: Sherehe za ufunguzi zilijaa alama za kisanii na sanamu zenye sura za miungu ya kale jua, miungu ya uzazi, na fahali.
Commonwealth Birmingham 2022:
Tamasha la ufunguzi liliwasilisha Ng'ombe mkubwa wa chuma, ishara ya moja kwa moja ya ibada ya Baal, kwa kuwa Baal mara nyingi aliwakilishwa kama fahali au Ng'ombe
🎶 Muziki na Filamu – Alama za Baal
Kwenye ulimwengu wa burudani, ibada ya Baal imefichwa kwa kificho
Beyoncé – “Run the World (Girls)” & tamasha la Grammy 2017: alipanda jukwaani akiwa amevalia kama Ishtar/Astarte – mungu wa uzazi wa Babeli – akizingirwa na jua na nyota.
Madonna – Super Bowl 2012 & Eurovision 2019:
maonyesho yake yalikuwa na alama za piramidi, jicho moja, na kiti cha kifalme cha kipagani, akijionyesha kama mungu wa kike wa kale.
Jay-Z & Kanye West – “Watch the Throne” album: kava na video zao zikiwa na alama za jicho moja na mifanano ya obelisk ya Babeli.
Rihanna – “Umbrella”: video yenye alama za piramidi na umbo la Saturn – zinazohusiana na ibada ya siri za Baal.
Katy Perry – “Dark Horse” (2014): video iliyojaa ibada za kipagani za Misri, zikihusisha miungu ya kale na macho ya Horus (jicho moja).
Filamu Eyes Wide Shut (1999): inaonyesha ibada za siri na sherehe za kipagani zinazofanana na cults za Baal.
Filamu Metropolis (1927): mwigizaji Maria aliwakilishwa kama “Mwanamke wa Uovu” – akifanana na Ishtar/Babylon the Great .
Tamasha la MTV, Grammy, na Super Bowl mara kwa mara huonyesha sanamu za Ng'ombe, jicho moja, moto, na ngoma za via vya uzazi vyote ni alama za Bacchus/Baal.
Mara nyingi pia wasanii hutumia mashairi yenye lugha ya kificho:
“Bow down to the king” (Jay-Z) – ishara ya mungu wa dunia hii.
“We’re up all night to get lucky” (Daft Punk) – nyimbo za kusherehekea tamaa na uzazi.
“I’m a goddess” (Beyoncé, Ariana Grande) – kujitambulisha moja kwa moja kama Ishtar au mungu wa kike.
Kwa macho ya kawaida ni sanaa, lakini kwa jicho la kiroho, ni ibada ya Baal ikifichwa kupitia muziki na filamu.
🕌 Baal katika Uislamu
Kabla ya Uislamu, ndani ya Kaaba kulikuwepo sanamu kuu iitwayo Hubal mungu wa Kiarabu aliyelingana moja kwa moja na Baal.
Baadaye jina Allah likachukua nafasi kama mungu mkuu wa Waarabu. Kwa mtazamo wa kihistoria, Hubal → Baal → Allah ni mlolongo wa ibada moja iliyopewa sura mpya.,Kumbuka Baal anakawaida ya kubadilika majina mengi ili tu aabudiwe ,historia ipo hivo.
Sifa na matendo ni yale yale:
Tawaf (kuizunguka Kaaba) lilifanyika hata kabla ya Uislamu.
Sadaka na kafara vilitolewa kwa Hubal.
Ibada kufanyika uchi ,hata Leo pale hijja hutakiwi kuvaa chupi
Allah aliendelea kuwa “mungu mkuu” – jina likibadilishwa lakini asili ikabaki.
✝️ Baal katika Ukristo
Katika Ukristo, baadhi ya sherehe ziliingizwa kutoka ibada za kipagani. Mfano ni Easter.
Passover (Pasaka ya Kiyahudi) = ukumbusho wa kutoka Misri.,hii sio Easter kama wengi wanavyodanganywa .
Easter = kutoka kwa jina Ishtar, mungu wa uzazi wa Babeli.
Ndiyo maana Easter huambatana na mayai na sungura – alama za uzazi na uzinifu.
Hivyo
Passover ≠ Easter
Easter = Ishtar
Na Ishtar ni mwendelezo wa Baal.
🕰️ UHALISIA WA BAAL KATIKA KIZAZI CHA SASA
🎶 Muziki na filamu: zimejaa alama za jicho moja, Ng'ombe/fahali, nyota na ibada za uzazi.
💰 Uchumi na siasa: tamaa ya mali na anasa ni ibada ile ile ya zamani ya Baal.
🕵️ Jamii za siri: Freemasons, Illuminati na makundi mengine bado hutumia alama zinazomrudisha moja kwa moja kwa Baal.
Mwanahistoria mmoja aliandika
“Baal hajafa; amevaa sura mpya na kusimama jukwaani akishangiliwa na ulimwengu.”
MImi Bado nauliza Swali lile lile la Eliya 👇👇👇👇
Mtasita-sita katikati ya mawazo mawili hata lini? Bwana akiwa ndiye Mungu, mfuateni; bali ikiwa Baali ni Mungu, haya! Mfuateni yeye.
WITO WANGU MFUATE BWANA MUNGU (YWHW) .