Tetesi: Baadhi ya watumishi wa umma hawajapata mshahara

Ushauri wa buree kwa watumishi wenzangu tujitahidi kuwa na kipato mbadala hali niliyoishuhudia jana kwa rafiki yangu haipendezi kwakweli
 
Kama ni system ya BOT waliyosema ni afadhali waibadilishe maana imesababisha shida kubwa kubwa mno.Hadi sasa watumishi wengi ni kilio na familia zao sababu haijajulikana.Maafisa UTUMISHI wakiulizwa wanasema kwenye mtumishi hana tatizo ila system iliyotumiwa ndiyo shida.Yaani mnawafanya watu wasomeke majipu kwa wengine bila sababu za msingi.Hadi ATM zimechoka kuulizwa.Saikolojia za watu mmeziua mbaya sana.
 
Back
Top Bottom