Baadhi ya wapenzi wa vyama wameanza kujitambua

Shida na raha

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
3,773
Reaction score
3,474
Kumbe kuna baadhi ya wanachama wa CUF wameanza kujitambua. Leo nipo zangu maeneo ya Kwamabata wanapouza matikiti nimesikia wakizungumzia wanasiasa kwa ujumla.

Walikua wanazungumzia suala la wanasiasa kutoshirikisha familia zao pindi panapohitaji maandano ya siasa. Katika mazungumzo hayo mmoja kaanza kusema wanasiasa kazi yao ni kujinufaisha wao huku sisi tukifa njaa, akasema yeye kuanza sasa hatohudhuria tena ujinga wa maandamano ya siasa, akasema nimekua mshabiki wa vyama miaka sijaona faida kwangu zaidi ya kuchezea mabomu ya moshi na huku akijua katika majeruhi atatajwa mtoto wa kigogo lakini haonekani hata mmoja.
 
Sijui kuandika ila kupost najua.
Hujitambui wewe!! Kwani ni lazima familia zao ziwe katika harakati za siasa? Na je mbona wanasiasa haohao wakiwaweka mbele wanafamilia katika ulaji mnapiga kelele? Hiyo inaonesha kwamba kiongozi ni yeye na wananchi na sio familia yake...mnamezeshwa propaganda uchwara mnajiona wajanja...nyambafff
 
propaganda uchwara
 
.

Swadakta maneno yako na sifamilia yangu
 
Nimetaja cuf makusudi maana vilaza walio wengi wamejaa huko na naamini povu litamwagika kwa kila mwana cuf hapa.
 
Siasa ni imani kama ilivyo dini,kila mtu ana imani yake. Mfano mzee wangu ni kada mkereketwa wa Ccm lakini mimi sio mwanaccm.
 
Back
Top Bottom