Mohamed Said JF-Expert Member Joined Nov 2, 2008 Posts 23,441 Reaction score 33,999 Aug 27, 2021 #1 PICHA YA BI. CHIKU BINT SAID KISUSA, BI. TITI MOHAMED, BI. TATU BINT MZEE, JULIUS NYERERE NA AKINA MAMA WENGINE Mmoja wa wasomaji wangu amenitumia picha hiyo hapo chini ya akina mama wazalendo wanachama wa mwanzo wa TANU hao niliowataja hapo juu. Kulia ni Bi. Chiku bint Said Kisusa, Bi. Titi Mohamed, kushoto ni Bi.Tatu bint Mzee na huyo katikati ni Julius Kambarage Nyerere. Hii picha ilipigwa Uwanja wa Ndege wa Dar-es-Salaam akina mama hao walipokuwa wanamsindikiza Mwalimu safari yake ya kwanza UNO mwaka wa 1955. Picha hii ni bora sana kuliko ile mliyoizoea ambayo nimekuwa nikiitumia. Kaniletea na picha nyingine ambayo In Shaa Allah nitaiweka hapa wakati muafaka. Namshukuru sana huyu ndugu yangu.
PICHA YA BI. CHIKU BINT SAID KISUSA, BI. TITI MOHAMED, BI. TATU BINT MZEE, JULIUS NYERERE NA AKINA MAMA WENGINE Mmoja wa wasomaji wangu amenitumia picha hiyo hapo chini ya akina mama wazalendo wanachama wa mwanzo wa TANU hao niliowataja hapo juu. Kulia ni Bi. Chiku bint Said Kisusa, Bi. Titi Mohamed, kushoto ni Bi.Tatu bint Mzee na huyo katikati ni Julius Kambarage Nyerere. Hii picha ilipigwa Uwanja wa Ndege wa Dar-es-Salaam akina mama hao walipokuwa wanamsindikiza Mwalimu safari yake ya kwanza UNO mwaka wa 1955. Picha hii ni bora sana kuliko ile mliyoizoea ambayo nimekuwa nikiitumia. Kaniletea na picha nyingine ambayo In Shaa Allah nitaiweka hapa wakati muafaka. Namshukuru sana huyu ndugu yangu.
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,974 Reaction score 13,434 Aug 27, 2021 #2 Shukrani sana kwa história Nalog off
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 36,508 Reaction score 45,127 Aug 27, 2021 #3 Mwalimu alikuwa mvumilivu sana, Bibi Titi Mohamedi alikuwa si wa kawaida aisee!! mimi ningeanguka dhambini aisee.
Mwalimu alikuwa mvumilivu sana, Bibi Titi Mohamedi alikuwa si wa kawaida aisee!! mimi ningeanguka dhambini aisee.
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,280 Reaction score 24,079 Aug 27, 2021 #4 FUSO said: Mwalimu alikuwa mvumilivu sana, Bibi Titi Mohamedi alikuwa si wa kawaida aisee!! mimi ningeanguka dhambini aisee. Click to expand... [emoji23][emoji23] Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
FUSO said: Mwalimu alikuwa mvumilivu sana, Bibi Titi Mohamedi alikuwa si wa kawaida aisee!! mimi ningeanguka dhambini aisee. Click to expand... [emoji23][emoji23] Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
mweusi asili JF-Expert Member Joined Nov 11, 2014 Posts 2,049 Reaction score 3,380 Aug 27, 2021 #5 FUSO said: Mwalimu alikuwa mvumilivu sana, Bibi Titi Mohamedi alikuwa si wa kawaida aisee!! mimi ningeanguka dhambini aisee Click to expand... Kwani usingechangia kungekua na tatizo
FUSO said: Mwalimu alikuwa mvumilivu sana, Bibi Titi Mohamedi alikuwa si wa kawaida aisee!! mimi ningeanguka dhambini aisee Click to expand... Kwani usingechangia kungekua na tatizo
Nnangale JF-Expert Member Joined Jul 20, 2013 Posts 2,661 Reaction score 1,386 Aug 28, 2021 #6 Kaka mkubwa asante kwa kutokuwa mchoyo tumewaona wanawake hawa miamba ya kupambania uhuru wetu ambao leo una milkiwa na polisi.
Kaka mkubwa asante kwa kutokuwa mchoyo tumewaona wanawake hawa miamba ya kupambania uhuru wetu ambao leo una milkiwa na polisi.